Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ninachohisi kuhusu 1xbet,,,Nadhan kuna hujuma zinafanywa makusudi kabisa na Mlipa ili kuidhoofisha hili kampuni ambalo lilikuja kwa kasi sana kiasi cha kuwakosesha wateja makampuni ya kibongo,,,2. Aidha makampuni hayo yatakuwa yamejikusanya na kushirikiana na hawa Mlipa kwa namna moja au nyngne ili kuondoa uaminifu wa xbet,,,kwa kuthibitisha hayo kumekuwepo na Id nyingi sana humu JF ambazo zinazungumzia hili tatizo kila baada ya sekunde kadhaa na kushauri watu wahamie makampuni ya kibongo, mathalani kuna mmoja kila siku anaulizia hii kampuni imesajiliwa bongo? Na kutahadharisha kwamba mtalia au mtaliwa pesa n.k mawakala wa makampuni ya bongo punguzeni vurugu basi uamuzi wa kucheza kampuni lolote upo kwa mtu binafsi, msitumie bando zenu kushinda humu kushawishi watu waichukie kampuni fulani,
 
Nadhani wamesikia mkuu..stimu zimelipiwa 1Xbet
 
Hiv kumbe makampuni ya bongo hua wanajua kuna huu uzi huku JF?
 
MKUU TATIZO NI KUWA HATA SIMU HAWAPOKEI,KINGINE CHANGAMOTO KAMA HIZI ZINAPOTOKEA INATUBIDI TUWE PAMOJA NA TUONGEE LUGHA MOJA ILI TATIZO LIISHE,HAKUNA ALIYE SALAMA KATIKA HILI NI SUALA LA MUDA TU!!.
Kwani ukitumia mastrcar kuna shida jaman
 
Ndio kutwa wanakesha kuhamasisha watu wahame, kuna ambao wameshanifuata mpaka inbox kunitaka nihame 1Xbet. HapaHatokiMtu.
Leo nimeenda huko.mmecheza mpkaa nimewithdraw ela niliyoweka[emoji23][emoji23][emoji23]wako slow mpkaa wamaliza na bundle lenyewe[emoji23][emoji23]kwa kusubiriaa sema uzuri.mmoja wanarudisha fasta
 
Nazan wanapoteza muda tu makampuni ya nje yapo mengi wakimfanyia hujuma mrusi kupitia hao mlipa tutatumia mihamala kupitia huduma za kibenk, cha msingi waangalie nin mrusi anacho wao hawana then wafanye marekebisho labda tutafikiria kuwafanya mke wa pili kwenye betting baada ya mrusi[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio kutwa wanakesha kuhamasisha watu wahame, kuna ambao wameshanifuata mpaka inbox kunitaka nihame 1Xbet. HapaHatokiMtu.
 
Soma post yangu tena sjasema tatizo halipo, lipo sana tu na nimeeleza nionavyo nani atakuwa nyuma ya hizi shida zote,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…