Et poa....hhhhh mkuu umenicheksha afu nipo ugennView attachment 932515
yajayo yanafurahisha majibu juu ya mitandao yetu kama lini itapatikana nimejitahdi kiingerezaaa
Kuna watu Wagumu sana kuamini siku likiwatokea watajua,ni suala la muda!!.Kama wewe una withdraw hela ndogo ndogo bac 1xbet hawana shida na wewe. Lakini kama una withdraw hela ndefu mf.800k, 1mil, 2mil, bac utafungiwa akaunti yako tu. Amini, Usiamini.
Nyinyi ndo mawakala wenyew unakitozaje kod chombo bora cha dunia.......1xbet haijasajiriwa hapa tanzania ,ina mana hawalipi kodi,inatumika kinyemela na kinyume cha sheria, hivyo usalama wa pesa yako ni mdogo sana.Na hata ikitokea kudhurumiwa hauna pa kuwapeleka ,huo ndo ukweli na kupga hela wanapiga kwa ujanja sana
Hao Mlipa si wakuwalaumu mana ni mawakala na wanafanya kazi kwa mjibu wa sheria na pengine yeye ndo anamakosa zaidi hata ya Mlipa kwa sababu hajakaa kiutaratibu.
WE HUJIULIZI KWA NN KAMPUNI ZINGINE ZIPO ACTIVE SANA ZAIDI YAO.Huduma yao itasitishwa mda si mrefu.
Bwana ww tuache Anglia ustaarbu wako kwani pesa si zetu zinakuuma nn....???hapana tunaelezana tu tunapocheza tuwe na moja kichwani na tuwe tayari na aza yoyote,kwenye vita usiulize risasi imetokea wapi,ndo hizo aza sasa.UNAWEZAJE KUFANYA BUSINESS NA MTU ASIYE NA OFISI MKUU HATA KAMA HUJASOMA,UNAMUAMINI UNAMPA MTAJI WOTE.LIKITOKEA LA KUTOKEA LAZIMA ULIE TU
Mimi leo hii, nmetumiwa ujumbe kwenye emailKuna watu Wagumu sana kuamini siku likiwatokea watajua,ni suala la muda!!.
Mi naonaa itakuwa ww mwenyewe ndo ulojichanganyaa kwenye kuregister na taarifa ulizozipeleka hawawez kukufunguiaa tu bure from nowhere....Mimi leo hii, nmetumiwa ujumbe kwenye emailView attachment 932575
Au hamjasikia ya PRIDE huko MTU kasepa na shekeli. Dhulma haichagui nchi. Tena wakati mwingine multinational companies ni bora zaidi kuliko countrywide companies.
Cha msingi kila MTU abaki anapopaamini.
Inamaana na wale wanaotumia bet365 nao waachane nayo?Nyinyi ndo mawakala wenyew unakitozaje kod chombo bora cha dunia.......
Ebu kawambie waliokutma waborshe huduma zao waache ujnjaujnja
Mkuu umewafanya nn?Mimi leo hii, nmetumiwa ujumbe kwenye emailView attachment 932575
HALAFU KUNA RAIA HUMU ZINATETEA HUU UJINGA SIJUI WATANZANIA TUNA NINI TU!!.Mimi leo hii, nmetumiwa ujumbe kwenye emailView attachment 932575
Mkuu shida kubwa ambayo imeshanipata nilideposit hela 500k ikachelewa nusu saa.Hiv mkuu ww ulishapata shida na hao M-lipa? Maana sijawahi kusikia ukilalama na mishindo huwa unapiga daily na naamin utakuwa unawithdraw kama kawaida.
Mkuu nahisi kuna kitu ulijichanganya hasa ktk maelezo yako that why umehisiwa ww siyo mmiliki halali wa ac hiyo. Pole sana mkuu.Mimi leo hii, nmetumiwa ujumbe kwenye emailView attachment 932575
Na hiyo case kuchelewa ilikuwa kwa m.lipa bila shakaMkuu shida kubwa ambayo imeshanipata nilideposit hela 500k ikachelewa nusu saa.