Waambie hao,yani sie!!!!1xbet iko open san you can do whatever you like kampuni zingine naona kinyaa at kubet hiv akuna kampuni hapa tz wanaza waka kama 1xbet
Mkuu.mbona.mcheza naonaa system uao nzito kimtindoJamani mbona tunapenda kuendeleza kitu kidogo wakati tupo kwa ajili ya kubet tuendelee kubet wanaondelea na 1xbet waendelee tu tusiendeleze malumbano ambayo hayana msingi wowote. Mie nimetumia 1xbet mbona haina shida nadeposit fresh na nimewidraw mara moja fresh tu lkn mm natumia zaid mcheza tuendelee na mapambano bhana ndugu zangu
Naona wewe unadepost fresh tuu. Yamkini uko nje ya nchi ama unatumia nyia nyingine ku deposity. Mimi tangu limeanza hili tatizo la kuja na kupotea kwa Malipo kwa nyia ya simu nimeshaa poteza zaidi ya elfu hamsini.Nafanya taratibu zote baada ya kulipa fedha haionekani kwenye akauti yangu , ukiwasiliana na MPESA wanakuambia tayari fedha imeenda MLIPA sijui huyu MLIPA ni nani na katokea wapi.Kila nkitoka nkingia humu ndani nakuta malalamiko juu ya 1xbet mm tangia nijiunge na 1xbet cjawah pata tatzo lolote lile zaid zaid nlpoteza Shilling elfu 50000 Akn ilikuwa n kwa ujinga wang nlipokuwa mgeni 1xbet Nlideposit pesa bila kutoa tarifa ya kudeposit Kule kwny 1xbet ilinpate ile message Ndo ntumie pesa mm nkatuma nzma nzma ndo pesa ikapotea ikaenda kwny kampun ya Agabe nkawasiliana na M lipa Wa kanambia nsubl mbk masaa kaza mbk Leo cjawah pata hyo ile n nmewachia hyo kampun ya Agape Ko naweza sema 1xbet wako vzur watumiaji ndo wanamatatzo kama nliyo kuwa nayo mm nyuma
Nzito kivip sasaMkuu.mbona.mcheza naonaa system uao nzito kimtindo
Mkuu siyo wewe tu hata Mimi kabla sijawasoma mlipa waliondoka na 26000 yangu, nakumbuka ilikuwa siku ya jmosi siku ya mechi nyingi, nikadepost ile sms ya miamala wa voda haikuja kwa wakati. Niliwapigia voda wakanipa maelezo kwamba network yao ilikuwa mbovu kwamba watafanikisha miamala wangu ndani ya saa 24!. Sms ya miamala ilikuja kuingia baada ya siku mbili na pesa kwa a/c yangu haikuonekana ikabidi nianze kusumbuana na Voda. Kila nikiwapigia voda wanadai mwamala ulishafanikiwa kwamba pesa yangu ipo m.lipa niwasiliane nao wanitatulie tatzo. Voda wakanitumia namba za mlipa, huwezi amini mlipa walinisumbua pesa yangu hadi kuja kuiachia ikinichukua miezi 2 ya danadana. Hadi sasa nikitaka kudepost hela ndefu kama ni siku ya mechi nyingi lazima niwapigie sim voda niwaoloze kana netwk yako iko sawa cz mlipa kwenye pesa zetu ni kama mamba akiona nyama! Ukijichanganya tu hesabu maumivu usipofuatilia kwa nguvu zote.Kila nkitoka nkingia humu ndani nakuta malalamiko juu ya 1xbet mm tangia nijiunge na 1xbet cjawah pata tatzo lolote lile zaid zaid nlpoteza Shilling elfu 50000 Akn ilikuwa n kwa ujinga wang nlipokuwa mgeni 1xbet Nlideposit pesa bila kutoa tarifa ya kudeposit Kule kwny 1xbet ilinpate ile message Ndo ntumie pesa mm nkatuma nzma nzma ndo pesa ikapotea ikaenda kwny kampun ya Agabe nkawasiliana na M lipa Wa kanambia nsubl mbk masaa kaza mbk Leo cjawah pata hyo ile n nmewachia hyo kampun ya Agape Ko naweza sema 1xbet wako vzur watumiaji ndo wanamatatzo kama nliyo kuwa nayo mm nyuma
Tutumia kampuni gani sasa la hapa bongo?Kuna watu Wagumu sana kuamini siku likiwatokea watajua,ni suala la muda!!.
Unapotaka kufanya miamala yako either depositing /withdraw nakushauri tumia web achana na app haiko vzuri hiyo inachangia kukwamishaNaona wewe unadepost fresh tuu. Yamkini uko nje ya nchi ama unatumia nyia nyingine ku deposity. Mimi tangu limeanza hili tatizo la kuja na kupotea kwa Malipo kwa nyia ya simu nimeshaa poteza zaidi ya elfu hamsini.Nafanya taratibu zote baada ya kulipa fedha haionekani kwenye akauti yangu , ukiwasiliana na MPESA wanakuambia tayari fedha imeenda MLIPA sijui huyu MLIPA ni nani na katokea wapi.
Kumbe ww mwenyew unatumia zaid mcheza!! Wabongo hatupendaniJamani mbona tunapenda kuendeleza kitu kidogo wakati tupo kwa ajili ya kubet tuendelee kubet wanaondelea na 1xbet waendelee tu tusiendeleze malumbano ambayo hayana msingi wowote. Mie nimetumia 1xbet mbona haina shida nadeposit fresh na nimewidraw mara moja fresh tu lkn mm natumia zaid mcheza tuendelee na mapambano bhana ndugu zangu
Ina maana sisi tunatakatisha pesa sababu hatulipi kodi (Tax Evasion), tuwe makini sana tusijikute tupo Kisutu kwa uhujumu uchumi. ANGALIZO WADAUWanatambulika kisheria na ww mtumiaji unatambulika mana unalipa kodi kwa kila muamala,hivyo kama kuna jambo halijaenda sawa unawadai vzuri sana tofauti na pale kampuni inakuwa haina usajiri ndugu.
NDO MANA KILA SEHEMU WANAANDIKA IMESAJIRIWA KWA NAMBA KAZAA NA WANALOCATE NA OFISI ZILIPO KWA MSAADA WOWOTE.AMIN NDUGU
Hawa nao wahuni sana . kifupi kila kampuni hayakosi mapungufu.Wakuuu kumenoga huku mambo simple. Code kila kitu kimewekwa clear. Wanakwambia ukikwama chcht una uhuru wa kuwasiliana na huduma kwa wateja. Cyo hao wengn tunafanya kutafuta namba. Viaz kabsa hao!! Presha za nnView attachment 932639
Wewe ndo wamekatalia 800k yako????Mimi leo hii, nmetumiwa ujumbe kwenye emailView attachment 932575
Hawa nao wahuni sana . kifupi kila kampuni hayakosi mapungufu.
Waligombana na tigo, wacha washukilie pesa yangu miezi minne, haitoki mpaka nikapata hasira.
Mbona hata premier bet na princess hawakati achen kuponda vitu ambavyo hamjui au ndo nyie mmetumwa na makampuni yenu uchuro watu wawachukie 1xbet watanzania bhana1. Hivi hawa 1XBET wanaofisi wapi Tanzania?
2. Hivi kwa nini hawakati kodi kama kampuni nyingine?
Hao gal sports wana usajili hapa Tz?Baada ya 1x bet kuzingua, Nimerudi GAL Sport betting naona wana option kibao naona cku hiz kudeoisit ni direct kwao maana zaman walikuwa wanatumia M LIPA
Princess siwajui la premier wanakata kodi. Hukata kudi na kulipa na lile gap huweka kama bonus. Hivyo wewe hutojisikia kama kodi imelipwa.Mbona hata premier bet na princess hawakati achen kuponda vitu ambavyo hamjui au ndo nyie mmetumwa na makampuni yenu uchuro watu wawachukie 1xbet watanzania bhana