Eliaskante
Senior Member
- Jun 4, 2017
- 136
- 229
Sasa umekatwa auPrincess siwajui la premier wanakata kodi. Hukata kudi na kulipa na lile gap huweka kama bonus. Hivyo wewe hutojisikia kama kodi imelipwa.
[emoji3], hili swali linahitaji umakini ktk kulijibu...Sasa umekatwa au
Itakuwa maana wana shops hapa DarHao gal sports wana usajili hapa Tz?
Wakuuu kumenoga huku mambo simple. Code kila kitu kimewekwa clear. Wanakwambia ukikwama chcht una uhuru wa kuwasiliana na huduma kwa wateja. Cyo hao wengn tunafanya kutafuta namba. Viaz kabsa hao!! Presha za nnView attachment 932639
Unataka wakukate kodi yako waipeleke wapi kama hawana usajili hapa Tz???1. Hivi hawa 1XBET wanaofisi wapi Tanzania?
2. Hivi kwa nini hawakati kodi kama kampuni nyingine?
Achana nao hao wako kazini huoni kampeni zinavyozidi humu, washamalizana na Mlipa wazingue then wamehamishia kampeni humuUnataka wakukate kodi yako waipeleke wapi kama hawana usajili hapa Tz???
Swala sio kukatwa ww, wao ndo wanalipa hiyo kodi on ur behalf mkuuSasa umekatwa au
Basi hao wako vzrItakuwa maana wana shops hapa Dar
Wanajitahid na kodi wanairudisha kama bonus, na kudeposit hata ukiweka elfu 10 fee haizid sh 200Basi hao wako vzr
Kwani unapodeposit kwa 1xbet ni sawa na unapodeposit kwa kampuni nyingine kuhusu makato? Mbona wagumu kuelewa wazee yaaan beyonic tayar wanakuwa wanalipa kodi yaan hela yako kila ukidosit serikal ishakula chakeSwala sio kukatwa ww, wao ndo wanalipa hiyo kodi on ur behalf mkuu
Ngoja niitembelee nione options zao mkuuWanajitahid na kodi wanairudisha kama bonus, na kudeposit hata ukiweka elfu 10 fee haizid sh 200
Duh mkuu yaan ni mgumu sana kuelewa, ww unapoplace bet beyonic wanakulipia kodi wakati gani?Kwani unapodeposit kwa 1xbet ni sawa na unapodeposit kwa kampuni nyingine kuhusu makato? Mbona wagumu kuelewa wazee yaaan beyonic tayar wanakuwa wanalipa kodi yaan hela yako kila ukidosit serikal ishakula chake
Ushauri wako sasa kiongoziNilianza Ladbrokes, nikaja bet365
Nikaja William hill.
Hapa TZ sijui kama kuna kampuni sijawahi itumia,
Lakini walau mapungufu kila sehemu.....yapo
Princess bet ndio suruhisho lako, point nzuri malipo fasta.MKUU MIMI NATANGAZA KUHAMA RASMI,SIWEZI KUWA NAJIPA PRESSURE
ZISIZO NA MSINGI.
- KUTAFUTA PESA YA KU DEPOST TABU
- KUWEKA PESA NI BAHATI NASIBU IFIKE AMA ISIFIKE.
-KU BET TABU(PRESSURE YA MKEKA)
-UKIBAHATISHA KUPATA PESA YAKO JASHO
- OFFICE MAALUM HAKUNA
- MOBILE PAYMENT TABU DAKIKA MOJA ZIPO YA PILI ZIMEPOTEA
NIMECHOKA NA HIZI STRESS AISSE NGOJA NIWAUNGE MKONO HAWA LOCAL COMPANIES!!.
MCHEZA naona wako kama xbetTutumia kampuni gani sasa la hapa bongo?
Gaalsbet wamesajiliwa TZ, sana maduka yao karibu pande nyingi hapa mujini,Basi hao wako vzr
Ushauri wako sasa kiongozi
Mie leo ilikuwa kama bahati, niliwithdraw kiasi kukidhi shida zangu.Baadaye nikapata pesa nikaona nizibe pengo, nakutana na ujumbe wa huduma za Airtel Money, TigoPesa na M-Pesa hazipatikani.Sasa sijui mpaka lini zitarudi ni suala la kusubiri tu.But very poor in game distribution, kinachowafanya watu wang'ang'anie 1xBet ni kwa vile hawabagui game zote zipo alimradi ziwe zinachezwa kwa siku husika! Kule kwengine wanaweka game chache sana na za live waweza kuta zinazoanza mchana tu na sio ligi zote, its way better kuwa 1xBet kuliko kampuni nyengine yeyote japo Transactions hazipo stable!