Poa poa mkuuAsante , kwa taarifa
Jaribio la kwanza lilienda vizuri team 1 ilikataa no 2 zikatoka 0-0 so jaribio la pili litafwata la JPOn testing..unaweza chukua zako..marajibio ya awali kumpiga sportpesa kwa JP
View attachment 931888
Mkuu yaaan kanj angelia niliweka stake ya maana aise yaan bado kidogo nizimieJaribio la kwanza lilienda vizuri team 1 ilikataa no 2 so jaribio la pili litafwata la JP
View attachment 933219
Usikate tamaa..jaribio la pili cheza na X kwenye zote za direct win baada ya kucheza direct maana natest system kumpiga Sportpesa kwa JP yake..Mkuu yaaan kanj angelia niliweka stake ya maana aise yaan bado kidogo nizimie
Kwani Wamerudi teare kwenye local deposits Mkuu ?1xbet wamewakimbia MLipa nini maana naona kuna mabadiliko sasa hivi.
Sio beyonic tena ni Walletec
Embu jaribuni muone
Ndio zipo sasa hivi zinarudi na kupotea naona labda wako kwenye testingKwani Wamerudi tens kwenye local deposits Mkuu ?
Acha kupoteza muda wako mkuu kwa mtu wa namna hiyo boss.Ndg, KALEMAUAJI, ikunitukana haisaidii, Mimi natumia kampun tatu,
Play Master,
1XBET na
Gal Betting.
Lakini pamoja na hayo, Mimi 1XBet haijawahi nigomea kutuma au kutoa pesa.
So MATUSI yako kwangu yanaenda na upepi tu.
Utofauti upo,Mcheza ni kampun ya wapi tupe link mkuu
Ni kweli,ila sijui hiyu WIMICKYSiombi inikute shida yoyote 1xbet ila mpaka sasa nadeposit na kuwithdraw bila tatizo lolote,zaidizaidi nishukuru sana mzee WIMICKY kwa basketball yaani basketball kiukweli ni tamu jamani,ile ukiwa makini kwa kutumia @1xbet hakika hutajuta.