hata mm aisee ,karibu nusu saa sasa inapita,ilikuwa haijanitokea,mmhDaaah nimediposit na kulipia kabisa mpesa na sms ya mpesa imerudi ila account 1xbet bado mpunga hausomi dadeki
Kwasasa nadhani hawatoi ref number ileile, zinatofautiana kwa kila mtuDaaah nimediposit na kulipia kabisa mpesa na sms ya mpesa imerudi ila account 1xbet bado mpunga hausomi dadeki
Mi nilikuwa sijawahi kukutana na kadhia hii, vp namba zao mlipa unazohata mm aisee ,karibu nusu saa sasa inapita,ilikuwa haijanitokea,mmh
+255 758 460 813Samahani naweza kupata msaada wa namba yao niwacheki maana napishana na pesa
Na nimekutana nacho hicho kituMe nikiingia 1xbet nakutana hiki kitu
[emoji116]
Deposit via Airtel, Tigo Vodacom are temporary unavailable!
Naona kama kuna tatizo wame-declare kabisa kwa juu unapota ku-depoisthata mm aisee ,karibu nusu saa sasa inapita,ilikuwa haijanitokea,mmh
Ila zinafnya kazi mbona
Namba bizeeeee+255 758 460 813
Kuna mdau alitupia link ya mcheza.co.tz jana, nika download app yao.Hii ni ni kama copy ya 1xbet, maana feature zote zimefanana na hawa akina Putin.Nimeangalia upande wa option naona si haba, walau kwa kipindi hiki ngoja nitest mitambo.Ila hii kitu 1xbet mwisho wa mambo yote aiseee!!!!!Mcheza ni kampun ya wapi tupe link mkuu
Ni balaaa maana mi sijawahi kupata tatizo naoKwa mara ya kwanza nakutana na ugumu wa kudeposit 1xbet leo doh kazi ipo
Jamani ifuteni hi in play mrusi anaipa odd kibao kwa hizi handicap wakati inauwezo wa kutoa vikapu vingi T1
Daaah unanipa munkari na mlipa wameshikilia muamala wanguJamani ifuteni hi in play mrusi anaipa odd kibao kwa hizi handicap wakati inauwezo wa kutoa vikapu vingi T1
Daah kumbe nimecheza q3 nakajua full time hii itanikataJamani ifuteni hi in play mrusi anaipa odd kibao kwa hizi handicap wakati inauwezo wa kutoa vikapu vingi T1
Uza tu kwa hasara kuliko kupoteza yoteDaah kumbe nimecheza q3 nakajua full time hii itanikata
Bure kabisa,hakuna malipo yeyoteHiyo uhuru bet group ni yakulipia?
yani mkuu tunakupenda mno ila sasa akaunti hazina kitu na tunadepost na hela haionekani baadhi yetu, nawasha data nazima,ila wapi ,yani aiseeJamani ifuteni hi in play mrusi anaipa odd kibao kwa hizi handicap wakati inauwezo wa kutoa vikapu vingi T1