Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Mkuu hii option ni tamu sana hasa kwa timu zenye uhaba wa magoli.Umeona kitu hiko mkuu dakika 5 nimeingiza buku mbili nachagua tena mechi nyingine ukirudia mechi ileile sio salama Sana.View attachment 935324
Yahn ndani ya dkk 5 lisiingie goli then weka mzgo....kuliwa mara chache saana ila presha yake sio poa aiseeNieleweshe hapo.. Bet inakuwaje WON ikiwa umebeti DRAW ndani ya interval ya dakika tano wakati naona kuna timu moja ina goli tayari?
Mkuu naomxa unielekeze jinsi ya kupata hii option kwenye 1xbet, na vp naweza nikaweka day zaidi ya elfu mbili?Hapo kwa sasa nimekuwa kondakta wa mrusi nazikusanya tu buku mbili mbil zake buku jero yahn mchawi uwe na mda wa kutosha kama hii ndo ofsi yako bhs unavuna ukiwa seriaz kwa masaa ma5 unapiga laki bila presha yahn......hapa bado namwandalia makombora ya kumtungua.
Hata goli likiwepo sio mbya tena ukiona mechi mtu anaongoza 3 hyo ndo tamu maana anarelax ......pia utaget dakka zako 5 hafu dakika hzo ndo goli liingie bus utakuwa na gundu lililotukuka ukaoge maji ya bahari tu kwakweli... yahn me tangu nianze ni kijani zinatembea t nilianza na buku 3 leo asubui .....mpka sasa hivi nina 33k na nacheza kivivu yahn sio kio kazi kazi kuna mda nafnya mambo mengine.Mkuu hii option ni tamu sana hasa kwa timu zenye uhaba wa magoli.
Yahn ndani ya dkk 5 lisiingie goli then weka mzgo....kuliwa mara chache saana ila presha yake sio poa aisee
Mkuu nimetuma pc zinajieleza jrbu kizpitia vzr pia uwe na msingi mkubwa ukiweka buku utakuwa unakula 35 faida.....ukiwa na 10k ya kuanzia sio mbya ukitaka za haraka ndo kakope laki ndani ya lisaa ushaipata yahnMkuu naomxa unielekeze jinsi ya kupata hii option kwenye 1xbet, na vp naweza nikaweka day zaidi ya elfu mbili?
Ulete mrejeshoo..........Ok.. Asante.
Safi mkuu, ila wale wasiopenda green humu utawaua kwa presha. Tehtehteh.Mkuu nimeweka picha kama zote za kukuhakikishia ninachokwambia yahn nimesahau nimeliwa Lin kwa uchezaji wake ebu zichek kwanza usipolewa nambie....View attachment 935307View attachment 935308View attachment 935309View attachment 935311View attachment 935313
Option ya under ni nzuri sana kwenye tenisMkuu options zote zina presha ila option ya under presha yake ni kubwa zaidi, hebu fikiria mfano kwenye basket umeweka under 50 halafu zimebaki sekunde 30 vikapu viko 48 mtu anafungia kwa pembeni inakuwa vikapu vitatu jumla inakuwa 51. Tehtehteh
Kwa kwa kwaSafi mkuu, ila wale wasiopenda green humu utawaua kwa presha. Tehtehteh.
Buku 2 ni kubwa sana kwa dk tano, watu wanafanya kazi ya uwakala asubuhi mpaka jioni anapata elfu 5000. Wewe unaingiza ndani ya robo saa.Usawa huu unaingiza buku 2 mpka 3 kwa ddk 5 ya uhakiak kama ukiwa na laki ndo kabisa unaingiza 20k mpka 30k ukipiga mshindo mara tano una laki yahn sina ctress napumzika tu.
Mkuu bado nimekwama nipe japo intro ya kupata Hiyo optionMkuu nimetuma pc zinajieleza jrbu kizpitia vzr pia uwe na msingi mkubwa ukiweka buku utakuwa unakula 35 faida.....ukiwa na 10k ya kuanzia sio mbya ukitaka za haraka ndo kakope laki ndani ya lisaa ushaipata yahn
Hahahha hapo mtaji 20k tu mkuu Kama ukiw na malaki kam yao ni 20k per 5minsBuku 2 ni kubwa sana kwa dk tano, watu wanafanya kazi ya uwakala asubuhi mpaka jioni anapata elfu 5000. Wewe unaingiza ndani ya robo saa.
Umekwama wap????Mkuu bado nimekwama nipe japo intro ya kupata Hiyo option
Umekwama wap????
Unaingia quick event hapo mkuu kuna mechi zngine hawaweki yahn kuna option ya wanyumban apte goli au wa ugenini(hapa mipoint kama unacheza ngumu kumeza maana kutokea nadra)au watoke sare ndani ya dakka 5 hizo ko kazi kwako option ipo mbele ya kadi za njano hukoooo......Jinsi ya kupata hiyo option ya kuchagua draw ndani ya dakika tano