Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Betting ni akili yako na uchambuzi wako mwenyewe na bahati yako pia..hakuna mwenye sure 100%.

Kama mtu ana uhakika kwa nn asiwe anaweka mamilioni kila siku awe anamake profit tu. Think think think
 
Spain Spain Spain jmn daaaaahhhh!!!!!!

Brda vita isonge iendeleeeee
 
Oi wakuu kwa anayejua hizi alternative matches ndo zinkuwaje maaana yanakuwga mengi hafu yanafanana t hafu haynga options nyngi yahn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…