Na kuna goma la tenis kama unapresha unaweza ukafa...Hapa ndo utajua huu m hezo hauna gwiji yaani 11.59 away kasawazisha Tena kwa vikapu 3[emoji38][emoji38]View attachment 937614
Mkuu betri imeisha hiyo, naona upon busy na kazi hadi unasahau kuchajiKwa anayejua msaada pleaseView attachment 937536
Nipe darasa la hochey na volleyballBasket
Volleyball
Hockey
Huku ndio hela ipo
Kwenye volleybal mi huwa naangalia set zilizopita timu zilipishanaje points kisha naangalia walivozipanga odds kulingana na magoli kama picha ya kwanza inavoonekana. Kisha nategabndoano yangu kama picha ya pili inavoonekanaNipe darasa la hochey na volleyball
Karibu mkuuWale wazee wa 10 minutes X uhakika...... nimerudi
Hahaha 100% we jamaa ulipotea sana10 minutes draw uhakika ni sanaaa
Majukumu ya hapa na pale..... nimerud naona sikukuuu zina karibia na holiday yangu nataka nikale Dubai hapo......!Hahaha 100% we jamaa ulipotea sana