ozzy isayah
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 488
- 302
Bomu nimetega tangu dk ya kwanza lakin naonaa holaaaHuyu Uganda na Cape verde huyu watafungana kweli????.... Nataka nitege Bomu matata.
Huyu Uganda na Cape verde huyu watafungana kweli????.... Nataka nitege Bomu matata.
Uganda wanafanya jaribio la kutuhujumu wa-tz
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona moyo unavuja damu.Nimepgwa mnoooooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona moyo unavuja damu.
Tehtehteh kipigo kimekuwa kikali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio kwa kipgo hiki
Mkuu kuwa makin huyu Capeverde naona anatafuta draw huyu na huyu Uganda mipango kama inemuishia hiv, lile bomu la first half lililinipukia mwenyewe usoni.
KipusaNDAMCHO uko wapi Mkuu...
Acha woga mkuu.Aisee ugandaa kashindaa alafu kuna saa alikuwq na odd 5 nikaogopaa.mamayeeee
TehtehtehMkuu kuwa makin huyu Capeverde naona anatafuta draw huyu na huyu Uganda mipango kama inemuishia hiv, lile bomu la first half lililinipukia mwenyewe usoni.
Ha ha ha ha jamaa ameuskilizia m bakora wa mnato, hapo ndipo ubaya wa ku risk hela kubwa kwa returns za chini ya 10% ya mtaji! Unatakiwa ucheze magemu mengi sana na ukila mbanga unakuwa hujarudisha mtaji na uliopo unakuwa tayari umefyekelewa mbali! Maumivu yake sio mchezo, i think its better na kustick na tactic ya kubeti kupata faida ya 60%-100% ya mtaji wako! Unawahi kurudisha mtaji na faida mapema ata ukiliwa still mtaji unakuwa haujafa!Kwan hujawazoeaa hawa wakishinda kelele nyingi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakiliwa napo vilio[emoji23][emoji23]
Mkuu baada ya kupumzika kwa muda mrefu atimae tumerudi tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio kwa kipgo hiki
Ewaa[emoji847]View attachment 937805
GudMimi nimeweka laki na ishirini ikiwa na odds 3..pesa yangu iliyopotea tangu asubuhi imerudi.
Mimi nimeweka laki na ishirini ikiwa na odds 3..pesa yangu iliyopotea tangu asubuhi imerudi.