theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,731
Safi mkuu, ujasiri unalipa. Mm nilitaka kurushia kamilioni sema mtandao umezingua kakachelewa.Mimi nimeweka laki na ishirini ikiwa na odds 3..pesa yangu iliyopotea tangu asubuhi imerudi.
we ndo ungemnyosha vizuriSafi mkuu, ujasiri unalipa. Mm nilitaka kurushia kamilioni sema mtandao umezingua kakachelewa.
Acha woga mkuu.
Safi mkuu, ujasiri unalipa. Mm nilitaka kurushia kamilioni sema mtandao umezingua kakachelewa.
Hahahaaa.. Nilifikiria kama wewe mwanzo ila nikaona ngo najaribu kurudisha pesa niliyoipoteza asubuhi kuliko kupata hasara mara tano.Safi mkuu, ujasiri unalipa. Mm nilitaka kurushia kamilioni sema mtandao umezingua kakachelewa.
Halafu mkuu kama ushachunguza kwenye betting pale unapohisi kuwa hapa nitakula halafu ukaacha ndipo huwa panatick.Hahahaaa.. Nilifikiria kama wewe mwanzo ila nikaona ngo najaribu kurudisha pesa niliyoipoteza asubuhi kuliko kupata hasara mara tano.
Hongera mkuu
Halafu mkuu kama ushachunguza kwenye betting pale unapohisi kuwa hapa nitakula halafu ukaacha ndipo huwa panatick.
Huku naona upepo unaenda vzr kwanguHongera mkuu
2/3
Wakuu mechi za usiku huu vipi leteni tips zake
Mkuu tumetembea pamoja sema mimi niliongezea na serbia
Mkuu tumetembea pamoja sema mimi niliongezea na serbia