Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ngoja nitest kimoko kwa stake ya nauli ya daladala kwa kufuata kale kaformula kako ambako bado haujakaprove mkuu tehtehteh.
Mmmh huku yataka umakini sana mkuu usiweke mzigo mpaka uone wamesogeleana,,tafuta game ambazo hawajazidiana sana points
 
Mkuu nimetest tu siwez ingia kama mpira wa miguu angalau ndio naujua na bado nakula mkong'oto sembuse huu mpira wanapiga na mikono mkuu, nimetest kwa kale kaformula kako ka mchana kakitiki kakiloose sirudii tena nitakuwa nasubiri tu tips kutoka kwako mkuu.
Mmmh huku yataka umakini sana mkuu usiweke mzigo mpaka uone wamesogeleana,,tafuta game ambazo hawajazidiana sana points
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…