Hii ndoano anayetaka aifate asiyetaka sawaHaya ndoano hii apo mi nimeweka stake ndogo kwa sababu ya hesabu zangu ninavyotaka ziende so anayetaka kufuata afuate asiyetaka ok sawa ila ni ndoano inaweza ikanasaView attachment 938224
Kwahiyo sisi tufanyeje? Maana huu mkeka uliutupia hapa nasisi tuliufuata, tumepata hela ya vocha.Nimepata ela ya vochaView attachment 938227
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] siyo huo chief bhana kuwa makini na angalia vizuri mkuu iyo ni mikeka miwili tofauti broo niliyoutupia wa kuufata bado unaendelea na haujatoa matokeo bado ivyo kama unataka kuufata fresh ufate na pia kama hutaki ni sawa piaKwahiyo sisi tufanyeje? Maana huu mkeka uliutupia hapa nasisi tuliufuata, tumepata hela ya vocha.
Adimu sana kijana, lete vituWakuu,
Habar za asbuhi.
Nmewamiss sana wapambanaji wenzangu.
Dah, siku nyingi sana mkuu. Wazima wa afya kamanda wa ngumu kumezaSalama wakuu,
Leo tupo pamoja wadau....hoping ni wazima wote
Hahaha mkuu salama..adimika sana na Analysis ya uwakika..hata ukieka laki 1 unaona tayari umeshinda kabla ya result...leo tupo tunatest mitambo kidogo,,Dah, siku nyingi sana mkuu. Wazima wa afya kamanda wa ngumu kumeza
Leo ntakuepo nipashe misuli kwny inplay kabla ya wiki ijayo kuingia mzigoni rasmi baada ya likizoHahaha mkuu salama..adimika sana na Analysis ya uwakika..hata ukieka laki 1 unaona tayari umeshinda kabla ya result...leo tupo tunatest mitambo kidogo,,
Karibu tena kiongozi.. Nimefurahi kukuona kwa mara nyingine.Wakuu,
Habar za asbuhi.
Nmewamiss sana wapambanaji wenzangu.
Hilo CHAMVI litatiki kweli? [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Jmaa odds 2 mbili nonbend niweke chamvi maana duuu hli ixhakua ngmu
Hilo CHAMVI litatiki kweli? [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Usiasahu kuwatumiaa ela ya soda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wazee wa kazi tayari nimeshafanya utundu MLIPa mimi ni kama Jahazi nahitaji kwenda na upepo wa bahari unapovuma, tutembezeane mikeka basi wanangu Void ab initio WIMICKY kid kudi na wengineo
mkuu ulipotelea wapi?? kwema lakini??Dah, siku nyingi sana mkuu. Wazima wa afya kamanda wa ngumu kumeza