Aaaah weka laki ukutane nrungu la mjerumani broo na kilio chake hapo kinakuwa ni mara tano?Hahaha mkuu salama..adimika sana na Analysis ya uwakika..hata ukieka laki 1 unaona tayari umeshinda kabla ya result...leo tupo tunatest mitambo kidogo,,
Cheza buku buku kila Option garama 4000 faida itarudisha 17,530 baada ya kutoa garama,18/11/2018
Uzalendo kwanza na faida
View attachment 938298
Tip 1 - Over 1.5 goals Odds 1.49
Tip 2 - GG Odds 2.05
Extratip GG and Away win Odds 6.94 ( Correct score 1-2 - Odds 11.05)
Nitawatoa tu mwanetu, hii kazi ina wenyewe maana kila nikirusha ndoano naibuka na ngadu na konokono tu wenzangu wanaibuka na sato na kingfish, wacha nisafirie nyota!Usiasahu kuwatumiaa ela ya soda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
WALIOIFUATA HII.Vaa Bomu TujilipueView attachment 937491
Walioifuata Hii Jana.WALIOIFUATA HII.
WANANUKIA HELA.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we na mm hatunaa tofauti nikiweka mia 3 ndo nakula nikiweka ela kubwaa naliwaNitawatoa tu mwanetu, hii kazi ina wenyewe maana kila nikirusha ndoano naibuka na ngadu na konokono tu wenzangu wanaibuka na sato na kingfish, wacha nisafirie nyota!
Mi nilijitusua na 4000 imepigwaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we na mm hatunaa tofauti nikiweka mia 3 ndo nakula nikiweka ela kubwaa naliwa
Ndio kamchezo nimeanza kutest mitambo kwa handicap[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we na mm hatunaa tofauti nikiweka mia 3 ndo nakula nikiweka ela kubwaa naliwa
Ha ha usikate tamaa mkuu, shida ya kubetia vihela vidogo unajikusanya game hata 6 hujaliwa ile ya 7 unayosema niweke hela ya maana nipige hatua unakula bonge la mtama!Mi nilijitusua na 4000 imepigwaje[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeanza tena upyaaa dah