ozzy isayah
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 488
- 302
Naona umerudi kwenye sarafu zakoMi nilijitusua na 4000 imepigwaje[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeanza tena upyaaa dah
Ndo hivyo yaaniHa ha usikate tamaa mkuu, shida ya kubetia vihela vidogo unajikusanya game hata 6 hujaliwa ile ya 7 unayosema niweke hela ya maana nipige hatua unakula bonge la mtama!
Tupe tena mzigo na Leo tujilipue, kudadeki
Ndo hivyo yaani
Yaan siku nikisema niweke dau la juu napigika mbayaaa,ila nikiweka jero nawin[emoji16][emoji16]Hata ukiwa na Hela kubwa Mwendo ni ule ule kipigo ni kipigo tuu kwani Unadhani Ukiweka Laki ndo Mchezo unabadilika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mchezo ni ule ule ila stress ndo itabadilika itakuwa kubwa zaidi
Daaah iyo hali imenitesa sana na kwa muda mrefu joh ila nashukuru kwa sasa tayari nimefaikiwa kuifuta kuiondoa kuikimbiza maana kitambo mimi ilikuwa nikiweka miatatu nakula ila nikiweka kuanzia buku mbili kwenda mbele ni majanga kweli kweli ila now daaah namshukuru Mungu mambo yanaenda fresh hiyo hali nimefanikiwa kuivuka so ni state ya muda tu mazee ukikomaa utaivuka broo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we na mm hatunaa tofauti nikiweka mia 3 ndo nakula nikiweka ela kubwaa naliwa
Aaaaaaah mzee baba pole hiyo ni hal fulani tu ya muda utakwenda nayo mpaka itafika kipindi utaivuka mkuu wote iyo hali tumeipitia kikubwa ni kuwa mvumilivu na ukubali kujifunza mkuuMi nilijitusua na 4000 imepigwaje[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeanza tena upyaaa dah
Azionekani vizuri mkuuOdds 10+ nyingine...
View attachment 938374
Weka codeOdds 10+ nyingine...
View attachment 938374
Kwakweli naendelea kukusanya mtajiAaaaaaah mzee baba pole hiyo ni hal fulani tu ya muda utakwenda nayo mpaka itafika kipindi utaivuka mkuu wote iyo hali tumeipitia kikubwa ni kuwa mvumilivu na ukubali kujifunza mkuu
Asante mkuu, kwakweli manaake mrusi hakawii kuanza kuzibeba. TehtehtehHongera mkuu.. Nakushauri tu kwa leo funga hesabu [emoji3][emoji3][emoji3]
Pamoja mkuuWazee wa kazi tayari nimeshafanya utundu MLIPa mimi ni kama Jahazi nahitaji kwenda na upepo wa bahari unapovuma, tutembezeane mikeka basi wanangu Void ab initio WIMICKY kid kudi na wengineo