Said Cosmetics
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 2,007
- 1,600
Yaaan kama mtu angejlpua kwa 100,000 mmmh sjui ingekuwajeHatari sana... 1:3
Jaribu hii code PPQCRWale wazee wa 10 minutes X uhakika ni sanaaa
Naleta
Una miaka.mingapi??how come unaombaa jero??TANGAZOTANGAZOTANGAZO
wakuu naombeni mnigee jero nibeti maana leo axubuh nimepigwa na mrusi hadi hapa nipo naona wenge la hatari![\color]
Kwa mwenye huruma anaye2mia 1xbet Anirushie kupitia Idd number 48855641
Weka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unavitoaa wap mkuu tangu jana
Duuuh mechi kama zooooote[emoji23][emoji23][emoji23] ila nimejilipua ivo ivo mkuu ngoja tuoneJaribu hii code PPQCR
Sema kitu kikubwa mkuuyan bro mi sijui hii Africa chuki tutaziacha lini yani kumbe nimefahamu apa mtu anataka yeye akiliwa basi wote mliwe ndo yeye anafurahia ila wewe ukishinda basi yeye anachukia duhh hii hatari aisee mtu anasahau kuwa hawezi kuwa wa kwanza darasani kwa kumchukia yule nayekuwa wa kwanza bila kujifunza kutoka kwake
2/3
Nipo mkuuRafk yako deeppond wap?
Mrusi vipigo vimezidi ameamua ablock mapemaView attachment 938587
Mrusi vipigo vimezidi ameamua ablock mapemaView attachment 938587
Mkuu huyu Sociedade huwa ananifurahisha,Asipofanya show kipindi cha kwanza anamaliza mchezo kipindi cha pili, ni hatariiiii.Mkuu unachomfanya huko amerika ya kusin hamu na ww hana huwa pombe zinamuisha kabisa maana sio kwa migoli hiyo.
Mkuu huyu Sociedade huwa ananifurahisha,Asipofanya show kipindi cha kwanza anamaliza mchezo kipindi cha pili, ni hatariiiii.
Salama mkurugenzi, vipi?Za asubuh boss[emoji23][emoji23]
Kujilipuaa kwako napajuaa[emoji23][emoji23][emoji23]tujutane baadae kwenye kufunga mahesabuDuuuh mechi kama zooooote[emoji23][emoji23][emoji23] ila nimejilipua ivo ivo mkuu ngoja tuone
Mkuu pesa ilikuwa nje sema mrusi alikuwa kama yuko uwanjani kila baada ya muda mfupi anablock. AiseeMkuu nilivyoichungulia hii kitu first half draw nikaiogopa second nikatulia nakuja kuchungulia second half nilitaman kulia sio kwa kupishana na mihela aisee.
Mkuu pesa ilikuwa nje sema mrusi alikuwa kama yuko uwanjani kila baada ya muda mfupi anablock. Aisee
Kuna Bomu nilikuwa nalitega ghafla akatia komeo. Ila ngoja tumvutie pumzi. Ataachia tu kibubu.Anagongeleaga mikufuri kama mwehu teh teh teh.