Starehe Kitandani
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 676
- 342
Tanzania kitu pekee chenye uhakika na ushindi unawaweza kubet na usiliwe ni CCM tu.
Mkuu Mimi ninayo ya NBC ila inamwaka na zaidi imeblockiwa nilikuwa naitumiaga ktk mambo yangu huko fb, sasa sijajua nikiifufua hivi kweli transaction fees si ni kubwa sana kutoa na kuweka?
Tehtehtehteeh[emoji3][emoji3]Sinaga mbwembwe na 1xbet mi toka nimefungua account kwenye vikampuni uchwara sijawahi kula ila 1xbet hana uchoyo anakutoa kwenye umaskini... Saiv hata nikimpa ahadi demu natekeleza yaan nikitulia jmosi na jpili
Yajayo yanafurahisha!!
Mkuu 1xbet hana choyo kbsa. Mimi ananivutia zaidi kwenye upande wa in play! Yaani Mimi Nina mkakati flani naingia laivu nacheki game iliyoko dk 20 haina goli basi nawapa under 1.5 first hafl. Nachagu game 3 sikosi odd 1.7 natia cha ten faida buku 7! Yaani hapo mkeka kuchanika ni nadra sana!! Huwa nafanya hivyo hivyo na najikuta naondoka na faida nzuri kila siku. Sasa hapa kweli uniondoe kwa mrusi unipeleke wapi?Sinaga mbwembwe na 1xbet mi toka nimefungua account kwenye vikampuni uchwara sijawahi kula ila 1xbet hana uchoyo anakutoa kwenye umaskini... Saiv hata nikimpa ahadi demu natekeleza yaan nikitulia jmosi na jpili
Yajayo yanafurahisha!!
Kweli mkuu ni kufungua tu hamna namnaMkuu Mimi ninayo ya NBC ila inamwaka na zaidi imeblockiwa nilikuwa naitumiaga ktk mambo yangu huko fb, sasa sijajua nikiifufua hivi kweli transaction fees si ni kubwa sana kutoa na kuweka?
Mkuu naomba uniwekee 20,000 ktk account yangu ya 1xbet mm nikutumie Tigo pesa. Niko serious bossYa chakula jion[emoji3]View attachment 939531
Yan xbeb wako vzr sana nawakubali cjui wanatatzo gan
Mwenye uhakika na hili alete majibu watu tuingie mzigoniKuna ile ya vodamaster card inakubali kweli
Hapo umeuliza au umetoa maoni?Kuna ile ya vodamaster card inakubali kweli
[emoji16][emoji16][emoji16] hii sentensi imekaa mkao wa kama swali vileHapo umeuliza au umetoa maoni?