Kumbe wana ofisi kenya? wafungue na hapa bongoNimechat na customer care 1xbet Kenya, wameniambia zimeondolewa ili kufanyia marekebisho zitarudi soon kwamba tuwe wavumilivu
vida masta upuuzi tu hakuna muamala wowote nimewah kufanikisha zaidi utaambiwa wrong card numberTumieni voda mastercard
1Xbet hata waseme tudeposit kwa Western Union", bado tutakomaa tu. Tehtehteh. Aisee
Rais ana mafuta ya kutosha Je, mm na weweUnaliwa 10, 000 kwa Mhindi unalalamika! Rais kabet Mil 50 kwa Taifa Stars na hajalalamika! Relax...
Rais ana mafuta ya kutosha Je, mm na wewe
Na mimi mafuta yapo.
Niweke wapi? Kuna kiwango cha kubet nimejiwekea. Kamari sio biashara ya faida kila siku.Kama mafuta yapo, weka milioni tuone
Mkuu kumbe upogo na hukuEndelea na mengine hata Biko nenda ukague.
Option mzee baba, kule 1xbet kila option unayoifikiria ipo, huko mkeka bet,mbet option zao walizoziweka si rafiki kwa kula labda kwa wale wazee wa direct win na double chance tukwani mkekabet wanatatizo gani? mi mgeni kwenye hi tasnia naomba unijulishe nimejiunga nao majuzi tu.
Isipokuwa tu Jukwaa wanawake tu.Mkuu kumbe upogo na huku
ila kelele zilizidi humu kina siku niliandika je 1xbwt wakiamua kusitisha huduma zao hapa nchini itakuwaje? kuna wiki fulani kelele za m lipa watu kucheleweshewa pesa zao zilizidi humu baada ya hapo 1xbet imekuwa ni kawaida kuondoa mifumo ya malipo kwa njia ya simu
Mdau hiyo mikeka yako huwa haionekani vizurNawahi mechi mapema kabla odds hazijashuka maana Kanji hakawii kuzipunguza kadri muda unapokaribia.
View attachment 939663