huwa mnapitia walicho andika wenzenu kwenye comments zilizo pita kweli?NI AJE WADAU?
NATAKA KUWITHDRAW SOME AMOUNT FROM 1×BET LAKIN OPTION YA VIA MOBILE SIIONI!!!
Mdau naomba unjulishe ,sijapitiahuwa mnapitia walicho andika wenzenu kwenye comments zilizo pita kweli?
umewahh kiweka kwa m pesa masta ikakubali? kwangu haijawahi kukubali hata siku mojaHapa natengeneza pesa tu... Tutatoa kwa MasterCard... Wabaki na m-lipa yao...
Kwa mpesa kwangu pia haijakubaliumewahh kiweka kwa m pesa masta ikakubali? kwangu haijawahi kukubali hata siku moja
wenyewe wanasema kuna technical issues na zikikaa fresh watarejesha hiyo hudumuma hivyo wanataka uvumilivu wakoMdau naomba unjulishe ,sijapitia
unaolan kutumia bank gani inayokubali malipo ya aina hiyo?Kwa mpesa kwangu pia haijakubali
Poa mkuuwenyewe wanasema kuna technical issues na zikikaa fresh watarejesha hiyo hudumuma hivyo wanataka uvumilivu wako
Wakuu naomba mnielekeze namna ya kujiunga na 1xbet kwenye promo code unaweka no gan Kwan mana nashindwa kujiunga
unaolan kutumia bank gani inayokubali malipo ya aina hiyo?
ila kelele zilizidi humu kina siku niliandika je 1xbwt wakiamua kusitisha huduma zao hapa nchini itakuwaje? kuna wiki fulani kelele za m lipa watu kucheleweshewa pesa zao zilizidi humu baada ya hapo 1xbet imekuwa ni kawaida kuondoa mifumo ya malipo kwa njia ya simu
Nisaidie mkuu mm nitatuma Tigo pesa. Utanitumia pm namba yakoAnayetaji 20,000 1xbet account anicheki tusaidiane..Nina salio kule.
Mtaibiana sasa iviNisaidie mkuu mm nitatuma Tigo pesa mamba yangu ya cm 0655173113
Hivi kwann usimwendee inbox? Kwann unapenda kuweka nambayako kwenye public? Cybercrime waijua? Mtumie private SMS.Nisaidie mkuu mm nitatuma Tigo pesa mamba yangu ya cm 0655173113
Kwa kumsaidia futa quote yako maana yeye kashaedit comment yake... ila kwakuwa umequote kabla hajaedit imebaki kumbukumbu ya namba yakeHivi kwann usimwendee inbox? Kwann unapenda kuweka nambayako kwenye public? Cybercrime waijua? Mtumie private SMS.