Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu Mimi ninataka ku withdraw hela 1x bet Sasa nikitumia hii visa card kwenye sehemu ya card number naingiza Ila Kuna sehemu ya kuingiza tarehe ya card ku expire..Sasa Mimi kadi yangu Ina expire End (yy/mm) 5405..Sasa hapo sijaelewa mwaka gani?Ni 2054?
 
Naambiw kwamba kadi hii haikubaliki. Kadi niliyokuwa nayo haikuleta shida, nilipobadilisha hii naona inazingua, shida ni nini? Nafanyaje
 
Ndio hivyo
 
Kuna kampuni moja inaitwa pigabet ina option nyng kama xbet ila tatzo lao moja tuu kweny ku withdraw pesa inafka ad cku mbili ila kwenye kuweka ipo fasta kama utakuwa na uvumilivu ijarbu wakat tunaendelea kuwasubil kampun yetu xbet
Vipi kuhusu inplay
 
Wanatumia currency gani?
 
Vipi kuhusu inplay
Hii kampuni ya piga bet nimeitembelea ni shida, ina options zaidi ya 1xbet, ndani ya option 1 kuna vi options 30+, na ujazo wa odds zao ni mkubwa. Shida ni kodi tu. Wanakata kodi kama kampuni nyingine. Angalia mfano hiyo option ya *Chance Mix* ina options zaidi ya maelezo
 
Kuna kampuni moja inaitwa pigabet ina option nyng kama xbet ila tatzo lao moja tuu kweny ku withdraw pesa inafka ad cku mbili ila kwenye kuweka ipo fasta kama utakuwa na uvumilivu ijarbu wakat tunaendelea kuwasubil kampun yetu xbet
hiyo ni cop n pst ya kqmpuni fulani nimeisahau yaweza kua pm bet au galsport
 
Wakuu nina kadi ya NMB sasa natakiwa nifanyeje ili niweze kuiactivate pia kuhusu suala la kudeposit na kuwithdraw viwango vyake vimekaaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…