Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Iv yann kuteseka kwamba kampuni zimeisha au uvivu wakujiongeza unakaa kaa tu
 
Sijajua njia muitumiayo wenzetu, ila ningependa muongozo mkuu hata kunipa njia nyepesi ya kuweka na hataka kutoa pia.

Card ya bank inayoruhusu au ipo activated kwa masuala ya online !!

taarifa utachagua



kiasi cha kuanzia kudeposite ni buku jero hapo utajaza taarifa pamoja na email yako

ukishajaza itakuderect hapa kwa ajili ya kujaza taarifa zako za bank



mfano zaidi wa kadi kama huelewi


yajayo yanafurahisha
karibu
 
Ahsante mkuu,

Ninayo kadi ya benki ya NMB, lakini haipo activated ktk masuala ya Online.

Na hiyo Card master sina mkuu, itakuwaje sasa hapo...?
 
yani wabongo ni mivivu kama viaz!! Ishu hapa nenda kampun nyingn! 1xbet kitu gan bhana!! Kila siku 1xbet 1xbet kama vile kampun nyingn hamna!! Kama ni wa kula ni kula tuu. Umbea tuu daily badala tubet;kaz kupiga porojo tuu. Samahan kama utakwazika ila huu ni ukuku kuzubaa zubaa tuu na 1xbet. Ayaaa isingekuwepo sasa ingekuaje!! Huu ni ufala. Account kutumia wengn hamuez, kusumbua tuu!!
 
Ahsante mkuu,

Ninayo kadi ya benki ya NMB, lakini haipo activated ktk masuala ya Online.

Na hiyo Card master sina mkuu, itakuwaje sasa hapo...?

Jaribu kufungua Account labda Uba kama michango ilivyotolewa na mdau void or waweza kwenda Crdb
 
Unaona sasa!! Ushaaambiwa ili uweze ishu za online via banking lazima kadi yako iwe activated!! We kujiongeza hapo unashindwaje kama kadi yako cyo activated!! Mnaacha cheti shule unakuja kubeti hlf kujiongeza kidg tu unashindwaa
Ahsante mkuu,

Ninayo kadi ya benki ya NMB, lakini haipo activated ktk masuala ya Online.

Na hiyo Card master sina mkuu, itakuwaje sasa hapo...?
 
Mkuu Honesitty, nimekusoma, utazani kuwa huko 1xbet walikuwa wanakula daily kumbe majanga tu.
Sasa waache kubeti.sisi na kampuni za kifara tunakula na mpunga kama kawa on time.
 
Unaona sasa!! Ushaaambiwa ili uweze ishu za online via banking lazima kadi yako iwe activated!! We kujiongeza hapo unashindwaje kama kadi yako cyo activated!! Mnaacha cheti shule unakuja kubeti hlf kujiongeza kidg tu unashindwaa
Punguza hasira mkuu, mbona una maneno makali namna hiyo...?
 
Unaona sasa!! Ushaaambiwa ili uweze ishu za online via banking lazima kadi yako iwe activated!! We kujiongeza hapo unashindwaje kama kadi yako cyo activated!! Mnaacha cheti shule unakuja kubeti hlf kujiongeza kidg tu unashindwaa
Kama kadi yangu haipo activated ktk masuala ya online waweza nipa muongozi mkuu nifanye ili nifanikiwe.

Kuuliza sio ujinga aisee
 
Kabsa kama mm nimebakiza 27000 1xbet lakin cjabetia tena wala kuitoa, nimetulia. Nimerud premeir bet 7bu kodi hamna na nakula. Tips nachaguaga humu zinatumwa na jamaa yule pddy. Hawa wengn ni kelele tuu na 1xbet kika siku utasema ndoa wamefunga. Uvivu wa Akili tuu.
Mkuu Honesitty, nimekusoma, utazani kuwa huko 1xbet walikuwa wanakula daily kumbe majanga tu.
Sasa waache kubeti.sisi na kampuni za kifara tunakula na mpunga kama kawa on time.
 
Kama kadi yangu haipo activated ktk masuala ya online waweza nipa muongozi mkuu nifanye ili nifanikiwe.

Kuuliza sio ujinga aisee
Nakushauri nenda NMB maana utauliza hata mara 800 mwisho wa siku itakubid urudi kwenye benki uliyofungulia akaunti ukaactivate hiyo kadi, sasa nenda huko maswal yako yote yatapata majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…