Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mtu unacheza match moja unaweka 5000 unakula elfu 8
Mbona pesa ndogo sana hii
Mkuu hii ni Ofisi...kuna kufunga hesabu then utajua kwanini Elfu tano unakula elfu nane.....hizo elfu tatu majumuisho yake ndio kilio cha Kanji na Mjomba Mrusi....'huwezi hii kazi Kabangue Korosho na Wajeda"[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Hahahah huyu jamaa anahisi mrusi katutengea matako tufokonyoe tu? Huku ni kuparangana bila timing we ndio unachezea mkuyege wa PUTIN!
 
Sawa ila utakula 3000 lakini ndogo sana
Wazee wa kujilipua kama mimi hakuna kuogopa na muhindi analia vilevile
 
Hahahah huyu jamaa anahisi mrusi katutengea matako tufokonyoe tu? Huku ni kuparangana bila timing we ndio unachezea mkuyege wa PUTIN!
Ukichezea umependa tu hapa muhindi analia karibu mara 4 kwa wiki hizo siku tatu ndio ananiotea lakini haina maana namkula sana
 
Ukichezea umependa tu hapa muhindi analia karibu mara 4 kwa wiki hizo siku tatu ndio ananiotea lakini haina maana namkula sana
Mzee baba wote tuwe na mawazo ya aina moja kweli tutaweza kuijenga nchi mkuu ni lazima wawepo seremala ni lazima wawepo bodaboda ni lazima wawepo manesi, madokta na wengine ili ncji iende ni lazima kuwa na mawazo tofauti tofaut yaaani kuwe na nyie wenye kuweka madau makubwa kwenye jamvi na matimu kibaoooooooooo alafu mkasubiria lisa na nusu ndo muupate huo mpunga wenu alafu lazima tuwepo na sisi wenye kuweka vistake vidogo alafu tukatumia nusu saa kutengeneza mara mbili ya ela unayoitengeneza wewe kwa lisaa limoja na nusu mkuu ndo maisha yanakwenda ivyo!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…