Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu naomba elimu kidogo kuhusu basketball ktk vipengele hiv;-

1.Regular time
2.Overtime
3.Points
regula time ni mda wa kawaida wa game kuisha yaa after 4q mara nying ni dk 40 ila kwa china...philipines na NBA ni 48mnts


over time ni mda wa nyongeza baada ya team kutoshana nguvu kwenye regular time...basket haina draw hivo over time hutokea kwenye draw ya dk za regular time



3POINTS ni points za nje ya D kwenye kikapu ingekua football tungesema magoli ya nje ya boksi





uliza lingine lolote
 
Matusi ya nn mkuu mbona kila kitu unachukulia negative mkuu, naona umekwazika mkuu samahan sana.
Sijaona mantiki ya huyu jamaa kutukana, coz yeye kaandika anaumia sana, yan kama utani hivi, then wewe ukampa suluhisho,
Sasa kwanini amekutusi inamaa amekwazika mno kwa majibu yako ya kiungwana?
 
Kama Ulinifwata Jana Hongera Kwa Kuvuna Mpunga Vuna Na Leo Odds 2 Za Uhakika Woon[emoji736][emoji736] Loading.....

UEFA
Leverkusen - Ludogorets
Pick ov 2.5

UEFA
Chelsea - Paok
Pick home win
 
Hapo ndo unakuta ms..nge mmoja anadundisha mpira tu wala hafungi,hawajui kuwa wanatakiwa kufunga ili ssi tule.

Kwahiyo wameenda over time?
Umeona away alivokuwa anakimbiza karibia 1ht q ya mwisho amebaki kasimama tu
 
Hapo ndo unakuta ms..nge mmoja anadundisha mpira tu wala hafungi,hawajui kuwa wanatakiwa kufunga ili ssi tule.

Kwahiyo wameenda over time?
Hapana kwangu imekuwa Safi maana nilimpa home vikapu 35 kajitahidi mpaka imekuwa tofauti ya vikapu 7
 
Asante sana mkuu.
Kumbe mtu ukifungua ndani ya D inahesabika Point 1?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…