We record vzr mkuu ukimaliza kwny reply kuna option ya attach audio
Wakuu ivi hii JF haina option ya kurekodi sauti kama watsap kisha niitume umu ili kila mdau aweze kuupata mchango wangu na ushauri wangu kuhusu swala la handcap za basketball maana kwa kuandika asee maneno ni mengi yaaani maelezo ni mengi na kila siku naona uvivu kuandika je hakuna anayejua iyo njia ili niweze kusambaza upendo kwa wana wote twende sawa katika handcap
Fanya hivi mkuu chukua simu yako kisha jirekodi kama kawaida halafu hiyo rekoda utaipost hapa kama attachment tena inakubali vizuri tu.Wakuu ivi hii JF haina option ya kurekodi sauti kama watsap kisha niitume umu ili kila mdau aweze kuupata mchango wangu na ushauri wangu kuhusu swala la handcap za basketball maana kwa kuandika asee maneno ni mengi yaaani maelezo ni mengi na kila siku naona uvivu kuandika je hakuna anayejua iyo njia ili niweze kusambaza upendo kwa wana wote twende sawa katika handcap
bro hiii pesa hii naiangalia hii game naona madogo wa home wanapelekwa atar
Mimi natumiwa hizo code lakini mpunga hauendi 1xbet na sms ya successfull naipata sijui kwa nnInakubali, hapo ilipofika inahitaji codi ambazo unatumiwa unaweka hapo kisha inakuwa imekamilika
Mkuu, hiyo BOOKING POINT ina maanisha nini?
sikushauri acha kabsa hyoo kituUshauri nataka kutupia 100000View attachment 950541
Nakushukuru mkuu
Nimejaribu Leo tena Mara 3 haieezekani,Ivi inawezekana kweli kutumia MasterCard ya voda kufanya deposit?
Jamani anaye hitaji kuweka 1xbet anicheck
Inaleta msg hiyoMkuu, huwezi kutoa pesa kwa account hiyohiyo ya VisaCard au MasterCard?