Aisee duuh
Cheki na NMBMimi natumiwa hizo code lakini mpunga hauendi 1xbet na sms ya successfull naipata sijui kwa nn
Wewe endelea kutunza bank ,wenzako wanabetia wanapata faida maradufu. Tehtehteh. Halafu unadanganywa betting ni umasikini, kama ingekuwa ni umasikini Benki zisingebet.BIASHARA YA UMASKINI INAENDELEA TENA!!!
Mapema tu mkuu.Aisee duuh
Oii mkuu unaweza nirushia salio kwa account yangu ya 1xbet then tumalizane kwa muamala...Nimetangaza anaye hitaji kuweka hakuna mtu muda si mrefu utasikia oooh najaribu kuweka pesa siioni 1xbet
Dah kwel nimejaribu nimeona hamna kituNimejaribu Leo tena Mara 3 haieezekani,
Account nimefungua na nikatupia kabisa na 2,000 kama sample lakni nikifanya muamala inakuwa ina purchase vizuri mno lakni at the end nothing is going on
Ila mkuu inaonekana hii kazi unaipenda, manaake ziara za humu haziishi. Imeandikwa usiikaribie dhambi, tehtehtehntapiga vita kazi hii ya shetani mpaka labda mod waniblock!!
Huyu jamaa anazingua in shot na yeye anabet sema anatuchora tu kwahiyo bora tumkaushieIla mkuu inaonekana hii kazi unaipenda, manaake ziara za humu haziishi. Imeandikwa usiikaribie dhambi, tehtehteh
Imekuchukua siku ngapi hadi ikawa activatedHatimaye kadi yangu ya NMB imekuwa activated kufanya transactions online View attachment 950433
Nime Ku PM mkuuNimetangaza anaye hitaji kuweka hakuna mtu muda si mrefu utasikia oooh najaribu kuweka pesa siioni 1xbet
Huyu jamaa naona mnapoteza muda kumjibu, mnamkaushia tu ajione mjingaHuyu jamaa anazingua in shot na yeye anabet sema anatuchora tu kwahiyo bora tumkaushie
Siku 5 tu,Imekuchukua siku ngapi hadi ikawa activated
mkuu nipo hapaNimetangaza anaye hitaji kuweka hakuna mtu muda si mrefu utasikia oooh najaribu kuweka pesa siioni 1xbet
Ila mkuu inaonekana hii kazi unaipenda, manaake ziara za humu haziishi. Imeandikwa usiikaribie dhambi, tehtehteh
Poa poaSiku 5 tu,
TehtehtehAlafu yeye anaikurubia [emoji38][emoji38][emoji38]
Daah void tunaamia kampuni gn local mkuu naona xbet mambo ayajawa sawa kiivoKampuni za kitanzania bure kabisa, yaani hata kujibu maswali hawajibu. Unawatumia ujumbe wanausoma tu kimya kimya.
Kwa kweli bado sijapata mbadala sahihi.Daah void tunaamia kampuni gn local mkuu naona xbet mambo ayajawa sawa kiivo
Ipi inauafadhari
Hatari mkuu mayb awa mcheza kdogo ndo wanafanana na xbet naona wana afadhariKwa kweli bado sijapata mbadala sahihi.
Kwa njia gan kiongoz?Jamani anaye hitaji kuweka 1xbet anicheck