Hahaha...Mkuu, hapo unaweza usiende hata job[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji119] ukawa na kiburi[emoji2] [emoji119]Kwa waliofuata haya majamvi ile mida yetu ya wanga basi now wafike dirishani BET WOOOOOOOOOOOOOON!!!View attachment 951011View attachment 951013View attachment 951014View attachment 951015View attachment 951016View attachment 951018View attachment 951019View attachment 951020View attachment 951021View attachment 951022View attachment 951023View attachment 951024
Aa[emoji16]aaaaaashida ya izi mambo unaweza ukala ata kwa mwezi mzima alafu zikaja kuchukuliza zote na bwana vladimir kwa siku moja ndani ya siku moja tena ndani ya lisaa limoja ,ndani ya dakika moja bili kuzidi sekunde moja zote anazichukua na kuzirudisha kwenye acc yake[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji23]Hahaha...Mkuu, hapo unaweza usiende hata job[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji119] ukawa na kiburi[emoji2] [emoji119]
Unaweza kumjibu kwa Madaha Bosi[emoji119]
Hahhahah...Dadeki[emoji2] [emoji119]Chagua zinazokutosha hapo ,pia yenye wasiwasi itapendeza ukicheza DCView attachment 951202View attachment 951205View attachment 951206View attachment 951207View attachment 951208View attachment 951209
NB: usiangalie odds maana utazimia[emoji2] [emoji2]
Hahahaha...Noma sana Mzee.Aa[emoji16]aaaaaashida ya izi mambo unaweza ukala ata kwa mwezi mzima alafu zikaja kuchukuliza zote na bwana vladimir kwa siku moja ndani ya siku moja tena ndani ya lisaa limoja ,ndani ya dakika moja bili kuzidi sekunde moja zote anazichukua na kuzirudisha kwenye acc yake[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji23]
Aa[emoji16]aaaaaashida ya izi mambo unaweza ukala ata kwa mwezi mzima alafu zikaja kuchukuliza zote na bwana vladimir kwa siku moja ndani ya siku moja tena ndani ya lisaa limoja ,ndani ya dakika moja bili kuzidi sekunde moja zote anazichukua na kuzirudisha kwenye acc yake[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji23]
TENNIS HAINA MDA MAALUM SABABU NI HIIKwenye tennis ya kawaida kama upo vizur nilipenda kujua muda kwa set moja maana huwa sielewi unaweza kuta set ya kwanza inachezwa kwa hata lisaa lizima halafu set ya pili inachezwa labda kwa dk 44 tu huwa zinanichanganya sana nikijaribu kuzifuatilia, kama upo vizur mkuu na kwenye tennis nieleweshe kwa set muda wao ukoje?
Shukrani mkuu nimekupata vyema.TENNIS HAINA MDA MAALUM SABABU NI HII
TENNIS NI MCHEZO WA SET
SET YA TENNIS HUISHA PALE MMOJA KAT YA WASHINDANI ANAPOFIKA POINT YA 6 mfano 6-3 au 4-6 set hutofautiana mda pale point zinapokua zinapishana.
mshindi wa set hupatikana baada ya alomtangulia mwenzake kufika 6 kumuacha mpinzani kwa range ya 2+ set haiishi kama anaengoza kumuacha mwenzie kwa range ya 1 mfano 6-5 5-6 hivo set hii huzid point 6 na huisha pale tu range ya mbil ikitokea mfano 9-7
ka unahitaj lingine semaShukrani mkuu nimekupata vyema.
ka unahitaj lingine sema
HahahahahHahhahah...Dadeki[emoji2] [emoji119]
Tusiangalie Odds[emoji2] [emoji119] Maana tutazimia[emoji2] [emoji119] [emoji2] [emoji2]
hii shighuli kaiharibu sevill ila kimsingi mkeka ulikua umeusukaView attachment 950793
Odds 21.6
Mkuu nipe elimu kidogo namna yakumtusua kanji kwenye ice hockeyniulize lolote kuhusu kubet
BASKET
VOLLEYBALL
ICE HOCKEY
FOOTBALL
BANDY
HAND BALL
TABLE TENNIS
WATERPOLO
Ngugu acha shobo Dundo mzee kipi kinakura mzee
ice hockey ina vipind vitatu vyenye dk 20 hivo kufanya game zima kuwa na 60mntsMkuu nipe elimu kidogo namna yakumtusua kanji kwenye ice hockey
Njoo dmAmbae anaweza kufanya transfer ya pesa kwenye akaunti yangu ya 1xbet naomba tusaidiane.