Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwenye icehockey kuna 1st na 2nd half? Na unaposema kipind cha kwanza ukimaanisha kwenye ile period ya kwanza mkuu?
 
Kwenye icehockey kuna 1st na 2nd half? Na unaposema kipind cha kwanza unamaanisha kwenye ile period ya kwanza mkuu?
 
Mkuu nimekusoma ila nadhani tunahitaji strategy katika betting! Kuwe na ukomo kila siku na fixed stake! Ukianza kucheza kila bet na stake yake kuna chance kubwa sana ya kuingia hasara ukaunguza account! hii kama biashara zingine lazima tuwe na kanuni za kuifanya kiakili!

Money risk management strategy lazima izingatiwe, mfano kuwa na fixed stake ex: 20k ina maana ukiwa na laki una uhuru wa kucheza games nyingi ila limit ya loss za mfululizo ni game 5! Huwezi poteza hela nyingi maana rate ya ku loose ni ndogo kuliko win ina maana ukifungua na laki ukachezesha michezo 10 katika yote ukapoteza 2 ina maana una faida ya michezo 8, na opening balance inakuwa imebaki 80!

Uki implement strategy nzuri unaweza ku keep profit through consistency of winning bets! Ingawa loss pia zipo tu!
 
Hakika umenena mkuu, mi pia huapply hiyo principle
 
Copy that mkuu, na vip kwenye volleyball mkuu kwenye option ya over/under na handcap unaichek vip angalau kwa asilimia fulan punter kuweza kuwin.
ice hockey haina first half wala second half

ina first second third periods
 
Mkuu wengi tunaingia na tamaa pale tunapojirizisha kuna possibility kubwa ya kuwin game hapo ndipo unajikuta hata kama una fixed stake ya 10k per each game unazidisha mara kumi yake ili upige mshindo mkubwa na mambo yanapoharibika ndio kizungu mkuti tena kinabaki.
 
Umeongea kitu kizuri sana
 
Hio ndio tunaita tamaa sasa, hatuwezi sogea kama tukiiendekeza tamaa maana mi pia nimeliona hilo, mtu unaanza na 20k umekuza mtaji hadi umefika elfu 90 kanatokea katimu randomly unakatupia 70k kakienda vibaya unajikuta umerudi tana kwenye 20k unaanza upya ila kama ungeishinda tamaa ukatia 10k ungebaki na 80k! Kisha unaendelea kula unarudisha loss,
 
Ni kwel mkuu imeshanitokea mara chungumzima tamaa mara nyingi inanizid nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…