Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Please Naomba kuelekezwa namna ya kudeposit pesa kwenye akaunti yangu ya 1xbet. Nisaidieni jamani hatua kwa hatua maana naona napitwa na mpunga
 
Please Naomba kuelekezwa namna ya kudeposit pesa kwenye akaunti yangu ya 1xbet. Nisaidieni jamani hatua kwa hatua maana naona napitwa na mpunga

 
Nimefungua leo MasterCard lakini bado sijafaham kudeposit amount kwenda 1xbet naomba msaada please.
 
Nimefungua leo MasterCard lakini bado sijafaham kudeposit amount kwenda 1xbet naomba msaada please.
Kama account yako iko active kwa kila idara na umeweka pesa huko basi.
Ingia 1xbet iwe ni application au web version
★Bofya sehemu iliyoandikwa,'TOP UP ACCOUNT' pale juu
★Ikifunguka, bofya sehemu ya VisaCard.
★Jaza kiasi cha pesa, na email yako kisha submit.
★Itafungua,jaza namba ya kadi,CVV hizi ni namba 3 nyuma ya kadi, expire date, kisha submit.
 
Shukrani mkuu
 
Tunaendelea kujifunza handball kama hivi.
 

Attachments

  • IMG_20181130_181303_668.jpg
    28.6 KB · Views: 38
Naomba tofauti hapo.. Ila naona moja inausisha muda wa nyongeza wakati nyingine haina.. Je ndo tofauti pekee au kuna nyingine! Na muda wa nyongeza ni dakika ngapi?
 
Hiyo ambayo haina OT ikiisha droo kama ulitabiri ushindi unakiwa umepigwa ila yenye overtime inaenda mpaka muda wa nyongeza na odds zake zinapungua kidogo...hiyo ndio tofauti pekee
 
Mkuu naomba elimu ya table teniss
table tennis ni mchezo ambao kwa kawaida una set nne ila game inaeza isha baada ya set 3 au 4 mara nyingine 5




game inayoishia set tatu ni ile ambayo mmoja kat ya players ana win set 3-0 au ana loose set 0-3 hii huja baada ya mtu kuwin au kuloose set 3 mfululizo


Game yenye mwisho set nne matokeo yake ni 3-1 au 1-3



Game yenye mwisho set 5 ni ile inayotoa 2-2 baada ya set nne hivo huwekwa set ya 5 ili kupata mshind ingekua basket tungesema overtime


set moja huisha baada ya mmoja kat ya washindan kutoa point 11 na kumuacha mwenzie kwa range ya 2+ mfano 11-9 au 8-11 mmoja akitangulia kufika point 11 na kumuacha mwenzie kwa range ya 1 mfano 11-10 set haiishi mpaka mmoja amtangulie mwenzie kwa range ya 2



the best way to stake ni kwenye over under na hasa under 19 kwa wale wa inplay amin amin set kutoa over 19 ni msala





na kuna over under ya total game hujumlisha point za set zote



ni tam kucheza inplay coz huchukua mda mchache sana kwa set
 
Huu mchezo ulinipelekaga umiseta aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…