Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu mzinguaji tu huyu anawachachafya watu humu wanamporomoshea mitus bila kujua yeye mwenyew punter mkubwa ahahaha mwisho wa siku anatoa tips maisha yanasonga.
Haha kaka!! Kuna kawimbo kanaitwa mwambie farao nimeokoka sitorudi tena misri naenda kanani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…