Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kiongozi umetema madini ya kimkakati zaidi big up on it, nakupa good critical na like za kutosha.
 
mkuu kmtayari unazo hizo account NMB, CRDB kunahaja ya kwenda na hizo passport na barua ya mwenyekiti?
Kwa crdb muhim ni kitambulisho chako cha uraia/kura/passport ya kusafiria usisahau kuenda na picha mbili za passport size na fedha 20000. Kadi unaipata siku hiyo hiyo.
 
Mkuu we acha tu yaan kama wamechukuliana mke toka kumekucha wao wanaporomosheana matusi tu, jaman amani itawale wote lengo letu ni moja ndio maana tupo kwenye huu uzi mapungufu yapo tuvumiliane tukisema tushushiane mitus humu kila wakati utakuwa sio uzi wa mikeka tena bali taarabu.
Boca junior wazee wakuzipiga
 
HUU uzi ukiufatilia kwa makini kwa siku huondoki patupu, oy pamoja sanaaaa wapambanaji moja ya uzi wenye ushirikiano sanaaaa tunastahili TUZO jamii forums waliangalie hili
Yani hii ni namba moja, kwa ushirikiano mzee baba cjapata ona popote, Ila hapahapa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…