Kama unazo hizo account cha msingi nenda na kitambulisho ama leseni tu kama tahadhari wakati wa kuactivet cardmkuu kmtayari unazo hizo account NMB, CRDB kunahaja ya kwenda na hizo passport na barua ya mwenyekiti?
Acheni matusi tupeane maujanja, tuwin maisha wakuu***** ni ww mnduku ww! Gundi ya karatasi imekujaa sana.
Sent from my SM-G928T using JamiiForums mobile app
Hivi hii card ya visa au master waweza weka pesa kama kadi za kawaida?labda CRDB sio NMB,NMB mpka wiki mbili na bado wai-activate card yenyewe kwa online purchase...................
Nimepata Elimu kubwa sana kupitia hii post mkuu, once again thank you.table tennis ni mchezo ambao kwa kawaida una set nne ila game inaeza isha baada ya set 3 au 4 mara nyingine 5
game inayoishia set tatu ni ile ambayo mmoja kat ya players ana win set 3-0 au ana loose set 0-3 hii huja baada ya mtu kuwin au kuloose set 3 mfululizo
Game yenye mwisho set nne matokeo yake ni 3-1 au 1-3
Game yenye mwisho set 5 ni ile inayotoa 2-2 baada ya set nne hivo huwekwa set ya 5 ili kupata mshind ingekua basket tungesema overtime
set moja huisha baada ya mmoja kat ya washindan kutoa point 11 na kumuacha mwenzie kwa range ya 2+ mfano 11-9 au 8-11 mmoja akitangulia kufika point 11 na kumuacha mwenzie kwa range ya 1 mfano 11-10 set haiishi mpaka mmoja amtangulie mwenzie kwa range ya 2
the best way to stake ni kwenye over under na hasa under 19 kwa wale wa inplay amin amin set kutoa over 19 ni msala
na kuna over under ya total game hujumlisha point za set zote
ni tam kucheza inplay coz huchukua mda mchache sana kwa set
Mkuu handball unauelewa nayo?Ni katika kujaribu tu handball,basis mambo take yakawa hivi,kujeni na huku mjaribu wazee wa kazi.
Hata mia inakubali.Mi nadepost hata 400
Nabao tena?WADAU KWA YEYOTE YULE MWENYE INTEREST NA KUBET MCHEZO WA BAO, KUNA WEBSITE NZURI SANA INATOA 100% SURE TIPS AND PREDICTIONS.
JUKWAA LETU NAONA WATU WANAPENDA KUJARIBU BAHATI ZAO KWA KUBET KILA AINA YA MICHEZO, JARIBUNI NA HUKU ODDS TAMU KINOMA.
Hii system ya card imenifanya niihame 1×betHivi hii card ya visa au master waweza weka pesa kama kadi za kawaida?
Haki ya nani dunia imevaa sketi 😂😂😂😂WADAU KWA YEYOTE YULE MWENYE INTEREST NA KUBET MCHEZO WA BAO, KUNA WEBSITE NZURI SANA INATOA 100% SURE TIPS AND PREDICTIONS.
JUKWAA LETU NAONA WATU WANAPENDA KUJARIBU BAHATI ZAO KWA KUBET KILA AINA YA MICHEZO, JARIBUNI NA HUKU ODDS TAMU KINOMA.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haki ya nani dunia imevaa sketi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu mie leo nmefanikiwa kufungua Visa card ya crdb na form ya online transaction nmejaza tayr ila tatzo linakuja muamala unafel pale napojaribu deposit pesa 1xbet kupitia visaKama account yako iko active kwa kila idara na umeweka pesa huko basi.
Ingia 1xbet iwe ni application au web version
★Bofya sehemu iliyoandikwa,'TOP UP ACCOUNT' pale juu
★Ikifunguka, bofya sehemu ya VisaCard.
★Jaza kiasi cha pesa, na email yako kisha submit.
★Itafungua,jaza namba ya kadi,CVV hizi ni namba 3 nyuma ya kadi, expire date, kisha submit.View attachment 951601View attachment 951603View attachment 951604View attachment 951605View attachment 951606
Utrecht alipigwa 3-0 first half sasa hivi dk ya 78 karudisha zote na anamiliki mpira yeye dadadeki.[emoji12][emoji12][emoji12][emoji53]
[emoji23][emoji23][emoji23]***** ni ww mnduku ww! Gundi ya karatasi imekujaa sana.
Sent from my SM-G928T using JamiiForums mobile app
vzr tu tena huna haja ya kupanga foleni...unamalza kila ktu ATMHivi hii card ya visa au master waweza weka pesa kama kadi za kawaida?
Hata ukicheza under 9.5 mechi nzima kama kuna bundi atatokea tu dadadeki 😂😂😂under sio option ya kucheza jmn.....nilikuwa natest mitambo View attachment 951975