theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,731
Mm 50k ishapoteaDoooooh man city anaondoka na 150k yangu
Ebwanaeeeeeeeee [emoji15] [emoji15]Hapana. Hii inafaida zaidi. Mfano wanacheza cardiff na liver. Unamwekea cardiff kwamba hawezi kushinda huku Liva akiwa hana goli.
Mkuu sorry hivi bet pawa verification code unasubiri mda gani?Wa pili kwa leo
View attachment 974668
Sasa kama mpira umeisha Cardiff 1 - 2 LiverHapana. Hii inafaida zaidi. Mfano wanacheza cardiff na liver. Unamwekea cardiff kwamba hawezi kushinda huku Liva akiwa hana goli.
UmeshindaSasa kama mpira umeisha Cardiff 1 - 2 Liver
Itakuwaje hapo
Huyo nilimpa under 5.5 aisee halafu alibaki pekeyake. Kachana mkeka.Dah yaan hao sampdoria anapata magori mawili ndan ya dk 3 za mwisho duh mkeka ushaenda ivoView attachment 974696View attachment 974697
DuSiku moja moja mkuu
KabisaDirect win ni hatari kwa mkeka wako! Wale wa magoli na wasio na tamaa muda huu wanacheka tu..ata wafungane goli mia..
Mkuu hii either half win home ndio inakuaje. Yaan home lazima ashinde kktk vipind vyote au ashinde angalau kipind kimoja.?Wa 3 kwa leoView attachment 974724
Dah hao empoli sijui walijua mpira ushaisha wakajisahau maana dah wamezingua sanaHuyo nilimpa under 5.5 aisee halafu alibaki pekeyake. Kachana mkeka.
Either half win home - maana yake timu ya nyumbani itaongoza kipindi kimoja kati ya viwili vya mechi. Aidha aongoze cha kwanza ama cha pili.Mkuu hii either half win home ndio inakuaje. Yaan home lazima ashinde kktk vipind vyote au ashinde angalau kipind kimoja.?
Inaweza hata isije.Mkuu sorry hivi bet pawa verification code unasubiri mda gani?
MmhNamvizia Chelsea hapaView attachment 974737