Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,793
- 5,898
Umeona mikea yangu wewe. Unajifanya huoni eenh. Mishindo mara 3warusi wanatengeneza pesa ....Leo ndo siku watayopata faida maximum kabisa....tententente
Biashara hii ni ngumu sanaNIMEAMINI HATUWEZI KUWA MATAJIRI KWA KUBET. TUFANYE SHUGHULI NYINGINE
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Nikipiga hesabu pesa nilizoliwa na kanji nafikiri kustaafu sasa kubetiNIMEAMINI HATUWEZI KUWA MATAJIRI KWA KUBET. TUFANYE SHUGHULI NYINGINE
stake mbona siioni?Umeona mikea yangu wewe. Unajifanya huoni eenh. Mishindo mara 3
Shida yako stake ama odds saa hii?stake mbona siioni?
Doh pole mkuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Nikipiga hesabu pesa nilizoliwa na kanji nafikiri kustaafu sasa kubeti
NILISHAWAHI KUSEMA HUMU NIKAZODOLEWA...TENTENTENTENIMEAMINI HATUWEZI KUWA MATAJIRI KWA KUBET. TUFANYE SHUGHULI NYINGINE
Shukrani mkuu... halafu siku hizi hushei link mkuu...Doh pole mkuu
Daa pole sana,huwa hatubetii ada,Manina nmeliwa pesa ya ada ya chuo f.u.c.k man city na chalsea