Kama mkeka wako wa kwanza umechanika bora usibet tena subiri kukucheNani zombie hapa? Au niache tu? Hata kesho ni siku?
Kwakweli mkuu. Nimekuwa mzito tangu tuwe tunakutana na washkaj whatsapp. Kama ungependa tujoin njoo mkuu tushare mawazo. 0685 758 123Shukrani mkuu... halafu siku hizi hushei link mkuu...
Kama unaweza kulimia meno, kata tamaa...Beti kwa Afya sio kutafuta utajiri...NIMEAMINI HATUWEZI KUWA MATAJIRI KWA KUBET. TUFANYE SHUGHULI NYINGINE
Chief acha pesa unayolowa ni zaifi ya unayokula[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Nikipiga hesabu pesa nilizoliwa na kanji nafikiri kustaafu sasa kubeti
Poa mzee babaKama mkeka wako wa kwanza umechanika bora usibet tena subiri kukuche
Sawa steve...Kwakweli mkuu. Nimekuwa mzito tangu tuwe tunakutana na washkaj whatsapp. Kama ungependa tujoin njoo mkuu tushare mawazo. 0685 758 123
Umeeleweka kaka. Hizi option nyingine hapo ina maana FT ikiwa 0-0 bet lost.Either half win home - maana yake timu ya nyumbani itaongoza kipindi kimoja kati ya viwili vya mechi. Aidha aongoze cha kwanza ama cha pili.
Either half win away - maana yake timu ya away itaongoza moja ya half, ya kwanza ama ya pili.
Kuna mkeka wa kazaleta aliweka humu nikapunguza timu nime place bet ndio nashtuka why sikumtoa man city kwenye option ya penalty awarded....Yani nilitoa timu za england nikabakiza Chelsea na man city pumbavu si bora ningemuacha tu arsenal na kashinda nilimtoa bure tu
Sure na mpango wa kuacha rasmi huu mchezo...Chief acha pesa unayolowa ni zaifi ya unayokula
Ushaweka win maanaye lazima kuwe na ushindi,Umeeleweka kaka. Hizi option nyingine hapo ina maana FT ikiwa 0-0 bet lost.
Na man u naye mpira ukiisha tutasema cardiff alikua na odd 6+Leicester na Palace walikuwa na odds 231
Wazo hilo ukiweza kulishinda ni jambo jema sanaSure na mpango wa kuacha rasmi huu mchezo...
MAN CITY NILIMPA DOUBLE CHANCE 1.02 HIYO NI TAMAAAAKama unaweza kulimia meno, kata tamaa...Beti kwa Afya sio kutafuta utajiri...
Tumia akili ktk huu mchezo..ukitumia tamaa tu...ni lost za kumwaga[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]
mkuu void unatumia card ya bank gani huku 1xbet na mimi nikafungue maana hapa ninayo ya equity bank ila nmejaribu kuitumia 1xbet kudeposit inagoma wakati kwenye website zingine kama ebay inapiga mzigo vizurTehtehteh wale waliobet kinyumenyume Leo full shangwe.