WAKO WAPI WATU WAKO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 2,375
- 3,140
Sio tamaa, ndio game mkubwa...ela yako utakuwa umechangia wenzako wenye green.....kula uliwe ndio kamari....tandika mkeka mwingine siku bado haijaisha..bado Barcelona MPE hiyo Double Chance.,.. Lost & Win ndio raha ya Betting[emoji16][emoji16][emoji16]MAN CITY NILIMPA DOUBLE CHANCE 1.02 HIYO NI TAMAAAA
weka odds mwishoni na ulichoshida wengine ni usaniiWa 3 kwa leoView attachment 974724
HahahahhahahahaILA NA MIMI NAENDELEA KULIWA TU NA SIKOMI SASA
oops mungu wangu utajiri huuLeicester na Palace walikuwa na odds 231
Kwahyo unataka uone nimeshinda shiling ngap?weka odds mwishoni na ulichoshida wengine ni usanii
OK nimefanikiwa!Inaweza hata isije.
mkuu void unatumia card ya bank gani huku 1xbet na mimi nikafungue maana hapa ninayo ya equity bank ila nmejaribu kuitumia 1xbet kudeposit inagoma wakati kwenye website zingine kama ebay inapiga mzigo vizurAisee eeeView attachment 974824
Hao wote makanjanja tuuNaomba kuuliza wadau hivi awajaamaa wanao toa tips nawanajinadi kwamba nizakweli 100 % huku telegram naukitaji upewe inabidi ulipie Kuna mtu a shawai humu kulipia akazitumia zikawa nikweliView attachment 974823
Nipe mkwanja nikuuzie account yangu ya 1xbet kwa 180k account ina laki 2. Utakachofanya utachange password na itakuwa yako tayari.mkuu void unatumia card ya bank gani huku 1xbet na mimi nikafungue maana hapa ninayo ya equity bank ila nmejaribu kuitumia 1xbet kudeposit inagoma wakati kwenye website zingine kama ebay inapiga mzigo vizur
hahaha mbona akaunti ninayo shida hii visa card yangu ya equity bank inagoma kudepositNipe mkwanja nikuuzie account yangu ya 1xbet kwa 180k account ina laki 2. Utakachofanya utachange password na itakuwa yako tayari.
Wahi mapema offa hii ya sikukuu.
tententeKwahyo unataka uone nimeshinda shiling ngap?
Hapa nataka niuze salio lililomo tangu wametoa system ya kuwithdraw via mobile sina namna tena ya kuzitoa. Kwa hiyo mkuu unataka salio au?ha
hahaha mbona akaunti ninayo shida hii visa card yangu ya equity bank inagoma kudeposit