Salum Mazwazwa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2015
- 1,256
- 1,369
Nipe mkwanja nikuuzie account yangu ya 1xbet kwa 180k account ina laki 2. Utakachofanya utachange password na itakuwa yako tayari.
Wahi mapema offa hii ya sikukuu.
hapanaHapa nataka niuze salio lililomo tangu wametoa system ya kuwithdraw via mobile sina namna tena ya kuzitoa. Kwa hiyo mkuu unataka salio au?
Mkuu mkwanja humo kwenye account sio mradi wa upigaji. Hapo imebaki 180k nyingine 50k nimetandika mkeka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mladi waupigaji
Kampuni gani unatumia yenye option ya red card na penalt?. Betpawa sizioni hizo optionBila game ya westham kutokutoa penalty leo nilikua nalala usingizi murua kabisa...
Na nimegundua hii option ya No penalty na No Red card awarded ina ela sana...
Hakika kesho nayo ni siku...
Alaamsiki...
Bett gan hii?Mkuu mkwanja humo kwenye account sio mradi wa upigaji. Hapo imebaki 180k nyingine 50k nimetandika mkeka.View attachment 974850
Mkuu kampuni gani hii?First 10 min Draw yani nyau nyau unagiza juicy ya ukwaju ukiimaliza unachukua chako malufuku Kanji kulala na pesa ya mwanaume [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji483]View attachment 974812
Kwa style hii tutaelewana mkuu, utanishawishi kujiunga betpawa tupige kaziYani taratiiiiibuuu...View attachment 974660
1xbet.Bett gan hii?
Zipo ila si kwenye kila mechiKampuni gani unatumia yenye option ya red card na penalt?. Betpawa sizioni hizo option
[emoji23] [emoji23] vp mkuuKwa style hii tutaelewana mkuu, utanishawishi kujiunga betpawa tupige kazi
Hii ndio betting ya mtu makini, game hazitakiwi kuzidi 4! Na odds ziwe za kueleweka.[emoji23] [emoji23] vp mkuu
Zipo betpawa kwa mechi kubwa kubwa hasa ligi kuu ya uingereza, hispania, ujerumani, italy na ufaransaKampuni gani unatumia yenye option ya red card na penalt?. Betpawa sizioni hizo option
Bado natafakari hadi leo, huwa unatumia viashiria gani kuona kwamba hii game itatoa goli 1st half mkuu?Mapema tuView attachment 974825
Mkuu acha tu hapa sijabet kama siku tatu hivi nikitafakari vipigo nikasema leo acha nijitose nipunguze timu za england mana hazitabiriki nikaweka mbili tu na yaliyotokea ndo hayoKuna mkeka wa kazaleta aliweka humu nikapunguza timu nime place bet ndio nashtuka why sikumtoa man city kwenye option ya penalty awarded....
Na kweli penalty imetokea, nilijilaumu sana aise maana navyoona ule mkeka unatick masaa machache yajayo [emoji52][emoji52]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Somaa kwenye ramaniii...Mkuu acha tu hapa sijabet kama siku tatu hivi nikitafakari vipigo nikasema leo acha nijitose nipunguze timu za england mana hazitabiriki nikaweka mbili tu na yaliyotokea ndo hayo