Boooooom!!
Ukijifunza utaona wepesi wake sanasana kwenye handcapsBasket huwa sindio ngum Zaid eti
Dah mambo ni moto! Ngoja mambo nihamie hako![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] karibu ujifunze basket mkuu
Basket ni nafuu sana kuzipata odds nzuri, ukiwa na malengo basket inasaidia kuyatimiza mbn maana odds mbili za basket waeza pata kwa game moja tu. Unakuwa umevuta faida nzuri tu.[emoji3] [emoji3] [emoji3] ndo maana mmi nilikua nimestaafu kubet soccer ila baada ya kuona option ya magoli ni nafuu nakaona nirudi, lakini soccer kwakweli ni pasua kichwa wacha niendelee na basket yangu nikipata odds 3 naweza funga hesabu mapema kabisa
Tupia na utufundshe maana hali ni mbaya!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] karibu ujifunze basket mkuu
Jana mambo yalikuwa mabaya kwa direct win lakini sisi wa magoli mambo yalikuwa poa sana.Njema vp jana kanjibhai kakuacha salama[emoji3] [emoji3]
Karibu mkuu,, NBA watu wapo siriaz ukitega vzr lazima upate ya supu tuDah mambo ni moto! Ngoja mambo nihamie hako!
Naomba uwe inanitag. Maana football ni mchezo usotabirika!Karibu mkuu,, NBA watu wapo siriaz ukitega vzr lazima upate ya supu tu
Kwan sa hizi hakuna wa kuanzia???Karibu mkuu,, NBA watu wapo siriaz ukitega vzr lazima upate ya supu tu
Niliwahi kushauri humu siku si nyingi kua ni lazima uwe na mtaji mahususi wa siku na usibet sana kwa tamaa ya kuvuta mpunga mrefu ukajikuta unajilipua na stake ya maelfu... Sijui kama watu wanaelewaga wakipewa ushauriBasket ni nafuu sana kuzipata odds nzuri, ukiwa na malengo basket inasaidia kuyatimiza mbn maana odds mbili za basket waeza pata kwa game moja tu. Unakuwa umevuta faida nzuri tu. Mi natafta mtu mwenye consistency ya kubet kwa malengo mfano daily achezae games 10 tu za uhakika live. Kisha hesabu inafungwa
Saiv NBA hakuna naona ipo 1 ya Australia ngoja nitajaribu kuitegea ndoano, uscheze mbaliKwan sa hizi hakuna wa kuanzia???
TumekupataNiliwahi kushauri humu siku si nyingi kua ni lazima uwe na mtaji mahususi wa siku na usibet sana kwa tamaa ya kuvuta mpunga mrefu ukajikuta unajilipua na stake ya maelfu... Sijui kama watu wanaelewaga wakipewa ushauri
Poa nipo machoSaiv NBA hakuna naona ipo 1 ya Australia ngoja nitajaribu kuitegea ndoano, uscheze mbali
mkuu pole nafikili lak3 umeikosa tayari.Nikimkosa huyu basi aende kanisani na yeye... Lak 3 lazima itoke leo niende nikabanjuke...View attachment 974489
mkuu pole nafikili lak3 umeikosa tayari.Nikimkosa huyu basi aende kanisani na yeye... Lak 3 lazima itoke leo niende nikabanjuke...View attachment 974489
Ndicho kinachosemwa kila siku.. Kuweka timu kuanzia 3+ kwenye mkeka mmoja ni hatari na especially ukivizia zitoe odds kubwa,,ni bora uweke timu 3 zenye odds 1.7 ila option zenye usalama na hapa kwa soka option hiyo ni magoli tuKinachosumbua watu wengi humu mpaka kulia kila sku ni ktu kinachoitwa TAMAA .mtu anataka aweke buku achukue laki hyo hamnaga Kabsaa kanji syo boy akiasi hicho lakin ukiwa na lak utake elfu hamsini nakuahakikikishia utakula kila saaa hyo Nina uhakika nayo 100% lakn syo direct Winn lazma ucheze option ya magoli.