Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwa ukweli kazi hii ya bet ni ngumu na ina changamto sana kama kazi zingine na naweza hata kusema hii ya bet changamoto zake ni nyingi zaidi,,,,,,haiwezekani timu uipe under ya 0.5 halafu inatoa over ukiipa over inatoa under kama hawa waturuki wajinga kabisa
 
Baada ya kufanya research ya kutosha na kupata feedback nzuri kwenye huu mchezo.nimejipa kalilizo kafupi nitafute mtaji kwanza wakueleweka,maana haya madau madogo yanarudisha nyuma sana.
 
Baada ya kufanya research ya kutosha na kupata feedback nzuri kwenye huu mchezo.nimejipa kalilizo kafupi nitafute mtaji kwanza wakueleweka,maana haya madau madogo yanarudisha nyuma sana.
Hapana ukianza na mtaji mkubwa hata wenyewe unawezwa kuliwa tu nahapo ndipo utachanganyikiwa anza na 10000 harafu tafuta timu nzuri zenye uwezo wa magoli ya uwakikika
 
Sasa kesho kuna ligi nyingi sana tena zingine nzuri zingine mbaya sasa Hapo utaona wadau wanavyo angaika kuweka mechi nyingi kwenye mkeka mmoja. Na kitakachofuata ni lawama
 
MCHEZO WA BET NI PROBABILITY KWAMBA INAWEZA ITOKEE AU ISITOKEE, KUFANIKISHA UNACHOBET INATEGEMEA NA ASILIMIA YA PROBABILITY.

KUMBUKA SISI TUNAJARIBU KUBASHIRI NINI KITAKACHOTOKEA KWENYE MATCH HUSIKA KULINGANA NA FACTORS TULIZOZICONSIDER, TIMU ZINAPOCHANA MKEKA TUKAZE ROHO.

ILA TUUNGANE TUFUNGUE BETTING COMPANY AISEE NDIO INALIPA ZAIDI
 
hii cjawai kuonana watuluki washenz sana kwelii huu mchezo hautaji asira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…