Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Halafu hii bet powa mwenye uzoefu nayo anijulishe kwenye kuwidraw inachukua muda Kama hzi zingine ambazo ukiwithdraw mpaka sku za kazi ndo uchukue pesa yako? Halafu mbona Huku kwenye kuwithdraw naona jina la kwanza na la pili na kiasi tu.
 
hawana longo longo hao mpunga fasta sana unapata
 
hawana longo longo hao mpunga fasta sana unapata
Zile betting company zingine kwenye kuwithdraw unaweza kiasi TU maana umeshajisajili wanayo jina na no Sasa hapa mbona unaweka jina la kwanza ,jina la mwisho wakati tayar Wana no .na wakati was kujisajili tuliweka namba tu na password hatukuweka jina?
 
Kila sku mechi ziko ni wewe tu kuacha tamaa na kuweka mzigo mzito ili upate ya supu lakn ukiweka kidogo ili upate ya kujengea sahau kabsaa.
 
Kesho pesa ipo, chukua England national league north na national league east zote weka over 0.5 unaweza pia okota za championship na EPL ukipenda
 
Kesho pesa ipo, chukua England national league north na national league east zote weka over 0.5 unaweza pia okota za championship na EPL ukipenda
Sorry ni national league south sio east
 
na huu ujinga wa instagram mshauleta huku
 
watu tunajipinda kumbe watu washpanga matokeo kutoka nyau nyau. Ndio maana league za Turkey na Greece naziogopa kwa kupanga matokei.

Ila mdau mbona hata hukutusanua mapema nasisi tukajilupua, kizuri kula na nduguyo
Je Italians wameacha huu mchezo? Serie A siielewi
 
Kesho nayo ni siku, tuenza kufanya analysis za mechi za kesho mapema,kwa maana mpunga wa kutosha na mechi za kutosha zipo.
 
Kesho nayo ni siku, tuenza kufanya analysis za mechi za kesho mapema,kwa maana mpunga wa kutosha na mechi za kutosha zipo.
kweli kabisaaa kesho pesa ipoo yakutoshaa leo naona soko la basket na ice hockey sio zuri sanaaa tusubiri kesho pesaaa
 
wakuu wakabet wanatoa bonus kwa atakae share link ili akiclick akaingia kwenye web yao wewe unaingiza mtonyo
CHANGAMKIA FURSA
Tusiwe wachoyo kubofya hizo link ili watu wapate hizo jero,jero!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…