Hili ni jukwaa la kusaidiana kumpiga kanji na wenzie sio la biashara,Ndugu zangu umakini na upembuzi wa hali ya juu unahitajika katika kubashiri.
Kwa mikeka iliyotathiminiwa kwa kiwango kikubwa wasiliana nasi haraka kwa namba
0658642362 WHATSAP TU
Karibu sana.
#Betting is not 100% guarantee, so stake what you afford to loose.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Waseng* wa Facebook mmehamia huku siku hizi hahaha
Odds za kununua nilishazipinga kitambo sana. Swali la kujiuliza ni moja tu "kama odds ni za uhakika kwanini utake azinunue mtu mwingine kuliko kuzicheza mwenyewe ili upate pesa???"*'Leo tuna mikeka mitatu yenye odd 6 kila mmoja. Ukibeti nasi una uhakika mkubwa wa kushinda. 0658642362
[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unauza odds wewe ndio utakuwa unacheza uwanjani kama ni wewe kauze kiwanja na nyumba za familia uweke ufaidike mwenyew vinginevyo itabakia kuwa ubashiri tu hakuna ajuaye matokeo*'Leo tuna mikeka mitatu yenye odd 6 kila mmoja. Ukibeti nasi una uhakika mkubwa wa kushinda. 0658642362
[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
Sent using Jamii Forums mobile app
Odds za kununua nilishazipinga kitambo sana. Swali la kujiuliza ni moja tu "kama odds ni za uhakika kwanini utake azinunue mtu mwingine kuliko kuzicheza mwenyewe ili upate pesa???"
Mfano, wale wa Nigeria wanakwambia wana fixed odds za uhakika i.e odds 500 kwa game 3 au 4 kwa option ya CORRECT SCORES. Yaani ukiweka 10,000 tu (500x10,000) unapiga 5,000,000 (Milioni tano). Usipojiuliza kuwa kwanini wasibeti wao kwakuwa ni za uhakika, badala yake wanauza? Lazima upigwe tu.
Kifupi hakuna fixed odds duniani, hiyo ni mbinu tu ya wizi wa pesa kwa kutumia mwavuli wa mchezo huu wa kubeti.
Sent using Jamii Forums mobile app
**** LA MAMA YAKO*'Leo tuna mikeka mitatu yenye odd 6 kila mmoja. Ukibeti nasi una uhakika mkubwa wa kushinda. 0658642362 WHATSAP TU
[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
Sent using Jamii Forums mobile app
Juve anataka kjtuaibishs sasa!!!!LIVE
Juventus V Sampdoria
1st Half - Under 1.5
Odds 1.88
very risk
Maana haeleweki.LIVE
Juventus V Sampdoria
1st Half - Under 1.5
Odds 1.88
very risk
nimeomba ashinde goli 3 hapa bado moja tu