Daah acha tu kaka!hii kazi haina formula!Yan wakati mwingine ndy mana nasema bora niweke tu direct win! Namtegemea city na united
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wote wanashinda... Tena kwa over 1.5. Mbona kwa Chelsea ilikuwa wazi mtu usiweke over 1.5? Au huwajui vizuri wazee wa epl!Yan wakati mwingine ndy mana nasema bora niweke tu direct win! Namtegemea city na united
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi hawa sipati mobile paymentsiuhamie 22bet mbona wenyewe wanazo payment zote
Nilieka 10 kwao mzee. Bora unipe moyo hao city na united mana mkeka tangu j5 na kuna namna nimestake kiaina hapo acha tuuHao wote wanashinda... Tena kwa over 1.5. Mbona kwa Chelsea ilikuwa wazi mtu usiweke over 1.5? Au huwajui vizuri wazee wa epl!
Hivi kwann usiwe unaweka stake kubwa???Mungu yu mwema. ~ the winning team.View attachment 981261View attachment 981262View attachment 981263
Sent using Jamii Forums mobile app
Haipo kwenye plan yangu mkuu. Naweka mikeka mingi sana. So nagawa pesa.
Hapo ungetia laki au fifty siunakuwa pazuri??Haipo kwenye plan yangu mkuu. Naweka mikeka mingi sana. So nagawa pesa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilimpa Raja nikachomoa dak za mwishoraja Casablanca ni fala na mwenzake palemo
Sent using Jamii Forums mobile app
nimeyapa over 1.5 kila mmoja....tententente
basketball live cheza under ligi za ulaya hasa germany zinatoa sana
nshapiga 90k kwa 10k
check after five minutes to seven kwenye qouta iyoo then weka under 40 option kama ipo mimi zimetoa zotee kwenye quoter zotee nlizoweka ila angalia kwanza vikapu vinaendaje