Gemu za Iran Oman na Korea Saudia, pamoja na mechi moja ya Ligi ya Australia hela njenje kwa wanaotaka niwamegee jamvi la leo.....Jana kama ulifuata niliyokueleza kwa games za man, city na Chelsea hope now unafurahia matunda....Kesho kwa wale wa Champions League usitoe direct win kwa yeyote...Wengi wape under 4.5 full time.
ok kumbe kuna kamzunguko kidogo
Uache uwoga na ww!! Hiv c bora uache kubetii tu. 60 unaeka c ukima huoSoma iyoooo stake Tsh 60[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 981700
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahaahahahahahhahahaUache uwoga na ww!! Hiv c bora uache kubetii tu. 60 unaeka c ukima huo
Sent using Jamii Forums mobile app
hii mechi mbona imekatishwa ghafla kuna nini huko7000 njenje apo wazee WA live tunasubili ngoma nyaunya mpka dk ya 20 odd zipandeView attachment 981802
Sent using Jamii Forums mobile app
Tennis nayo tamu kuna kokoro nimelitega la game 6 zote ziko poa bado 1
hii mechi mbona imekatishwa ghafla kuna nini huko
Huyu nilimpa win mapema kabla game haijaanza ila naona saiv anakimbizwa daahPricila Honny odd 3.80
10000=38000 save 28000View attachment 981836
Sent using Jamii Forums mobile app
Kudiposit wapi mkuuJamani, mnao tumia visa card ku deposit,, mnatumia benki gani..??
Sent using Jamii Forums mobile app