Mkuu leo nimepitwa maana kausngz kalinichukua ndo naamka dahHuku kirueni network ni ya kulenga kwa manati mzee baba[emoji16][emoji16]
Hebu tuanze mwaka kwa Tennis, waweza kutembea nalo lote hili kokoro au chambua zako chache, na nakushauri chukua zenye odds ndogo kabisa game hata 5 weka mzigo, vunja nyingine 5 weka kitu. Bila shaka mwaka utaanza vizuri.
Kwa sh 60 unaeza vuna malaki mengi mengi[emoji3][emoji3][emoji3]
Thanks me later!View attachment 982551View attachment 982552View attachment 982553View attachment 982554View attachment 982555View attachment 982556View attachment 982557View attachment 982558
Sent using Jamii Forums mobile app
Msaudia anakusalimu mkuu.Apo nimeangalia upepo wa msaudia hakosi goal moja na amempania sana mkorea..katika games zake..so lazima analysis siyo kubonyeza tuu ilimradi odds kubwa
Mkuu nimeshafungua bitcoin, na Tayar Mzigo upo Kwenye walet, nimeenda 1xbet Kwenye bitcoin, nimeshindwa kuendelea maelekezobplzjins ya kununua muuzaji anakuwa na maelezo yake pale cha msingi ingia localbitcoins.com jisajiri mengineyo yote utayaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii option uliocheza huwa ina uhakika 90% naitumiaga sana na hainitupi mkono. Unatafuta game zake 3 odds 3 unasukumiza mzigo. Tena kwa NBA ni uhakika zaidi
Mwaka huu nachonga kibubu spesheli kwa hiki kiwanda[emoji3] [emoji3]
Heri ya mwaka mpya ndugu zangu,tusaidie na sisi kidogo mkuu umefanyaje