unatakiwa uvizie mpaka wanafikia dakika ya tano ndo unatega ndoano, kama wamefika dakika ya 5 na bado hawajifikia 20 points kwa ligi yenye dakika 10 kwa quarter hapo unatakiwa kucheza under 42.5 na kwa ligi ya dakika 12 cheza under 52.5, na kama wamefika dakika ya tano wamefikia points 20 au zaidi hapo unatakiwa kucheza over 40.5 kwa ligi za dakika 10 na over 50.5 kwa ligi za dakika 12, vilevile kwa ligi kama ya NBA wakati mwingine kucheza under inakuwaga ngumu sana kwa sababu jamaa wale huwa hawatabiriki. ila kwa hii strategy ni mara chache sana kukuchania mkeka asilimia 95 unakuwa uko salama.
hiyo ni kweli imekuwa ni changamoto kwa hizi local betting compay, lakini kama una PC hili halishindikani kinachotakiwa unafungua browser mbili moja unaingia kwa betpawa na nyingine unaitumia kwa kuangalizia ile trend ya point inavyoenda kwa quarterUpo sahihi mkuu, ila changamoto inakuja pale unapotumia hizi betting sites za kibongo.. Ni mtihani kujua game ipo dakika ya ngapi.
Hili nimeliona betpawa.. kwa Inplay ni mtihani mgumu kwangu. Kipindi natumia 1xbet ilikuwa rahisi sana.
hiyo ni kweli imekuwa ni changamoto kwa hizi local betting compay, lakini kama una PC hili halishindikani kinachotakiwa unafungua browser mbili moja unaingia kwa betpawa na nyingine unaitumia kwa kuangalizia ile trend ya point inavyoenda kwa quarter
Siku hizi hayawekwi mkuu utashuhudia green tu humuLeo natafuta korokoro moja hapa natembea nalo
kwanini mkuu?
Ngoja nimjaribu na mie, nina salio la 5k kwenye 1xbetMrusi akizingua basketball tuna msaka kwenye table tennisView attachment 983632
Sent using Jamii Forums mobile app
Mrusi akizingua basketball tuna msaka kwenye table tennisView attachment 983632
Sent using Jamii Forums mobile app