Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Upo sahihi mkuu, ila changamoto inakuja pale unapotumia hizi betting sites za kibongo.. Ni mtihani kujua game ipo dakika ya ngapi.
Hili nimeliona betpawa.. kwa Inplay ni mtihani mgumu kwangu. Kipindi natumia 1xbet ilikuwa rahisi sana.
Yan ukiwa betpawa unatakiwa uwe na apk ya 1xbet ,inasaidia kuwa unaangalia mambo yanavyoenda mana betpawa ipo kibubu bubu tu,unakuwa unachomoka unaenda 1xbet unaangalie upepo ulivyo kisha unarud betpawa ukiwa umetega game husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihi mkuu, ila changamoto inakuja pale unapotumia hizi betting sites za kibongo.. Ni mtihani kujua game ipo dakika ya ngapi.
Hili nimeliona betpawa.. kwa Inplay ni mtihani mgumu kwangu. Kipindi natumia 1xbet ilikuwa rahisi sana.
Tumia BetPawa kutega, fungua flashscore.com, au basketball24.com kupitia browser nzuri kama Chrome kuangalia trend.
 
Teeeh mkuu ukiona wanakimbizana kwa tofauti ya 1 unaweka over ukiona wanazidiana 2-3 weka under lakini bahati inahusika Sana siyo muda wote utawaotea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…