Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Hatari mkuu tehtehtehInjia soma hiyoooo ngapi?
Tar 4 jan, 2019 mh![emoji23][emoji23][emoji23]Tutafanya kama tunajikuna hiv.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basket na tennes live gem nlikua naanza na buk10 ndani ya mda mda mchache unaiona laki kwenye walet kwa siku laki4,5 unazipiga kule Kama kawaida ndugu zanguNikweli betting ukitulia ni zaidi ya biashara Ila ukiwa na tamaa bwana weee itakula kwakooo dah! Ila nilivyo waona waha 1xbet mh! Ni hatali option mpaka basi ushindwe mwenyew
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii timu waikubali sans hadi kufatlia ratba zakeTukutane hapa tar 4, Kama umepunguza mtaji ni wakati wa kuurudisha. View attachment 983976
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha utani kiongozi unasema!Basket na tennes live gem nlikua naanza na buk10 ndani ya mda mda mchache unaiona laki kwenye walet kwa siku laki4,5 unazipiga kule Kama kawaida ndugu zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh sasa Mara nyingi unapendelea option gani na unaweka single mechi au unafanyaje yani
Tennis ndo rahis zaid,natumia under Sana sana naangalia tu gem live neengalia set 2 za nyuma nikiona goli zao zinaishia 15,16au17 naweka set inayofuata under ya 19 hapo lazima ule point 1.4Mh sasa Mara nyingi unapendelea option gani na unaweka single mechi au unafanyaje yani
Sent using Jamii Forums mobile app
Na set inayofuata sindio inakuwa set ya mwisho mchezo kuisha?Tennis ndo rahis zaid,natumia under Sana sana naangalia tu gem live neengalia set 2 za nyuma nikiona goli zao zinaishia 15,16au17 naweka set inayofuata under ya 19 hapo lazima ule point 1.4
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeipata Kyle nihatari ukichagua vzr mikeka 5 lazma Ata mitatu ikubali ama miwili
tententen..pole mkuu wangu Leo tena sijui kama nitabahatika...sio kila siku kina Steve na kazetela wanatulingishua tuuuu!!!Dah niliona jana umepiga pesa ya supu dah udenda ulinitoka balaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabsa analysis ni muhimuNimeipata Kyle nihatari ukichagua vzr mikeka 5 lazma Ata mitatu ikubali ama miwili
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejisikia tu kufanya hicho nilichokifikiria kukifanya [emoji41]