Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wakuu game la Huddersfield linasimamiwa na mike deen mzee red card au penalty...jamani halahala weka kati ya hizo option ule hela ya bure...nakusihi sana ndugu yangu kandu88
 
Halafu nahisi atashinda hii game,odds 2 za bure..
 
Ingekuwa inacheza aseno ningeweka penalt hata 3 zinatoka tu huyo na mwenzie oliver hawanaga hiyana ikicheza aseno against timu nyingine penat za bwelele tu.
wakuu game la Huddersfield linasimamiwa na mike deen mzee red card au penalty...jamani halahala weka kati ya hizo option ule hela ya bure...nakusihi sana ndugu yangu kandu88

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…