Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Je ungependa kuifahamu na kujifunza kuhusiana na forex trading biashara ambayo inaweza kukutajirisha kwa muda mfupi [emoji857][emoji857][emoji857][emoji857][emoji857]

Jiunge sasa na group hili la whatsapp uweze kupata msaada kuhusiana na forex.. Ni bureeee kabisaa

Fx_Money Makers
 
usitake watu wafirisike bure kiongozi haya makitu sio kabisa unaweza kuuza nyumba na vilivyomo kwa hii kitu ni afadhali ya kubeti kuliko hii kitu
 
Upo sahihi mkuu, ila changamoto inakuja pale unapotumia hizi betting sites za kibongo.. Ni mtihani kujua game ipo dakika ya ngapi.
Hili nimeliona betpawa.. kwa Inplay ni mtihani mgumu kwangu. Kipindi natumia 1xbet ilikuwa rahisi sana.

Tumia Parimatch inaonesha dakika


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Lipo Group la Telegram kuna kila kitu Huko


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
fanya hivi kama umeshafungua bitcoin wallet tayal sign in..ukisha sign in watakutumia code ya ku veryfy katika email then veryfy,ukimaliza ku sign in angalia kama bitcoin ulizonunua kwa mtu zipo tayal,kamas salio limeongezeka utaona kuna option za sand bitcoin to other adres so nenda katika app ya 1xbet bonyeza neno deposit then nenda katka bitcon inakupatia code a barcode then copy code unazopewa kwa chini hyo ndo inakua adres yako ya kutumia mpunga kwene app yako ya 1x bet then lud katika walet pest hico sehemu iliyo andikwa sand bitcoin to adress..baada ya kupest andika jina la walet ambayo ni 1xbet pia kuna sehem ya kiasi in term of usd then click neno sand baada ya hapo itahitaji veryfication then zama katika email yako utakuta wamekutumia code ludi kwene walet paste sehemu husika then clic neno veryfy bas mpunga wako utakua umeingia ..baada ya hapo pambana na mrusi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…