Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,702
- 2,287
ooh acha kabisa hii shughuli ni pevu mzee babaJamani hii kazi bet ni ngumu vibaya na nahisi mara nyingi haijamwacha mtu salana kabisa😵😵😵😵
tuko pamoja mwanawaneMan City 1 Liverpool Fc 3 ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Dakika 90 ubao utasomeka hivyo😎
Fanya hivi kuhusu man city na liver
Sikuhangaika kutazama maana niliona haviendani na alichokipost halafu unaulizwa maswali then hola unachokifuta kuhusu bettingumekuta nn huko mdau
NBA ndio ligi ya ******* kweli kweli, labda uwe mcheza overBETPAWA game nyingine za basketball hawaziweki **** ***** wanamuogopa kidi kudi atawamalizia mtaji 😀😀😀😀😀😀, ila poa tunakusubiri usiku kwenye NBA.
Jombaa uko vizuri...mi kubetia kijiji nimeshindwa kabisaMkuu mbona kawaida kupiga tuu..mikeka mirefuu...hachilia mbali single na ngumu..see attachments for your perusal..ndyo maana unafanya gambling kuangalia unapoteza sh ngap buku 1- 3 naeza nkacheza mkeka mrefu mpaka Sirari ama Rorya toka Dar.
View attachment 982202
View attachment 982203
View attachment 982204
View attachment 982205
View attachment 982206
View attachment 982207
Hebu tuma screenshot man4 030,26 TZS successfully credited to account .
wazee nimefanikiwa bitcoin to 1xbet maisha mazur sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
yaahni kweli kabisa kiongozi mana wale jamaa ni mafala sana, kuna kipindi unaona kama hawafungani vile sasa cheza under uone yani ukishaweka pesa tu ndo yanaanza kufungana makundu yale hayafai hata tone.NBA ndio ligi ya ******* kweli kweli, labda uwe mcheza over
Wamenifilia mtaji wangu sina hamuyaahni kweli kabisa kiongozi mana wale jamaa ni mafala sana, kuna kipindi unaona kama hawafungani vile sasa cheza under uone yani ukishaweka pesa tu ndo yanaanza kufungana makundu yale hayafai hata tone.
NBA ni nyoko mzee babaWamenifilia mtaji wangu sina hamu
Ndio tunaita kubeti kistaarabuNimejifunza kitu ukitafuta 1.5 odds au 2 odds ukaweka mpunga mkubwa wala hujutiii... Unaweza mpiga mrusi mara tatu ndio akakutindua mara moja
Sent using Jamii Forums mobile app
mhhhh betting haina formula mbaba jana watu tulicheza odds 2, Chelsea win na Man united win lakini bado pesa yetu imekutana na kifilo cha kufa mtuNimejifunza kitu ukitafuta 1.5 odds au 2 odds ukaweka mpunga mkubwa wala hujutiii... Unaweza mpiga mrusi mara tatu ndio akakutindua mara moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejifunza kitu ukitafuta 1.5 odds au 2 odds ukaweka mpunga mkubwa wala hujutiii... Unaweza mpiga mrusi mara tatu ndio akakutindua mara moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa umeshinda maana bado ushindi utakuwa unaendelea kwa home teamOi, hivi ukichagua 2/2 HF. Kipindi cha Kwanza ikawa 2-1 na matokeo yakaisha 2-1 inakuwajs, au ndo ushaliwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejifunza kitu ukitafuta 1.5 odds au 2 odds ukaweka mpunga mkubwa wala hujutiii... Unaweza mpiga mrusi mara tatu ndio akakutindua mara moja
Sent using Jamii Forums mobile app