Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi 100 mara 1000000 ni ngapi? Ila washenzi wanapiga hela kwenye jackpot! Yani single jackpot wanaondoka na over 2 billion kudadadeki!
Ukiangalia ivo utakua hubet
We jifikirie wewe tu unatoa kishilingi 100..io bill 2 wanajua wenyewe
 
Samahani wakuu kama nitauliza swali lililo jibiwa humu, hivi unaweza toa pesa kupitia MasterCard 1xbet?
 
Ukiangalia ivo utakua hubet
We jifikirie wewe tu unatoa kishilingi 100..io bill 2 wanajua wenyewe
Kupatia Jackpot yao ni sawa na kutoka nyumbani ukitegemea kuokota burungutu la hela njiani....My dear never ever!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…